Natafuta Video Producer

Jazzie

Jazzie

Member
73
95
Wandugu,

Natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima.

Kama una mifano ya kazi zako sehemu kama YouTube, Vimeo, etc tafadhali unitumie links za kazi yako.

Email yangu ni mettyn@gmail.com.
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
8,180
1,250
Naomba nikuweke wazi hizo ni kazi mbili tofauti. Unaweza kukuta kuna mtu ana vitendea vya kushoot na ni mzuri kwa kushoot lakini hafanyi editing yaani ana watu anawapa wafanye na mwingine vyote.

Ni vyema kama upo serious ukasema ni kazi gani unahitaji hiyo shooting ili mtu apate kujua ajipange kivipi?

Yote kwa yote kila la kheri katika hitaji lako.
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
2,282

...unaweza kumlipa?...una vifaa vya maana...?
 
Mzee wa Rula, shukran kwa maelezo yako. Kama nilivyosema kwenye tangazo, namtafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya vyote viwili. Kama una utaalam, nitumie PM au niandikie email kwa mazungumzo zaidi.
 
Kipaji Halisi, kama nilivyosema kwenye tangazo "Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima" Kama una utaalam, au kama unamjua mtu mwenye utaalam, let me know.
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
8,180
1,250
Mzee wa Rula, shukran kwa maelezo yako. Kama nilivyosema kwenye tangazo, namtafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya vyote viwili. Kama una utaalam, nitumie PM au niandikie email kwa mazungumzo zaidi.
Mkuu ni kweli vifaa angalau vya kisasa ninavyo lakini sipo Dar hivyo unaweza kuendelea kutafuta mtu sahihi kwa eneo lako kisha mkaongea mkafika maelewano.
 
Kwa lengo langu, siyo lazima uwe Dar. Uko wapi kwani?
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
2,282
1,250
Kipaji Halisi, kama nilivyosema kwenye tangazo "Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima" Kama una utaalam, au kama unamjua mtu mwenye utaalam, let me know.
OK...nimekumbuka kn PM...
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
2,282
1,250
Mkuu ni kweli vifaa angalau vya kisasa ninavyo lakini sipo Dar hivyo unaweza kuendelea kutafuta mtu sahihi kwa eneo lako kisha mkaongea mkafika maelewano.
Nimekusoma....vzr ...
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom