Natafuta Utajiri wa Majini

Natafuta Utajiri wa Majini

Sasa kawakosa huko au anapenda kutafuniwa tu ye ameze.....mabandiko yote yaliyopo

Ni kama mtu anaetafuta simu au tv hapa Jf... sio kwamba hajaziona madukani.

Halafu huku ndio vizuri zaidi maana utapewa na advise kidogo.. ambao utakusaidia katika ununuzi wako
 
Ni kama mtu anaetafuta simu au tv hapa Jf... sio kwamba hajaziona madukani.

Halafu huku ndio vizuri zaidi maana utapewa na advise kidogo.. ambao utakusaidia katika ununuzi wako

ZUUTH nashukuru ndg yangu ila ninajua nilichokifanya mtu mwenye dhamira ya kutaka mambo hayo hawezi kujitangaza kihivi coz ni mambo ya siri sana. Sasa huyu alitaka kutuwasha gari ndo na mimi nikamtokea kwa style hiyo ila tupo pamoja usjali.

Ah ah ah umemuweza...mia mia
 
Haswaa ! wenzako wanaombewa utajiri Kanisani kwa jina la Yesu. Ukitaka magari, kusafisha nyota, kupanda cheo, kupendwa (ngekewa) kuepuka madeni, kupandishwa mshahara, kufaulu mitihani, biashara kuchanganya, basi taja jina la Yesu. Usisahau bahasha ya sadaka
YESU KRISTO ndiye MUNGU wetu sasa unataka watoto wake tumuombe nani kama sio kwa BABA yetu mambo yote tunayapata kwa BABA kwani yeye ndiye aliyetuumba akatuweka hapa duniani na atatuchukua hivyo HE is responsible
For our wants and all welfares shortly is our PROVIDER na kutoa sadaka mahali sahihi ndio tabia aliyotufunza BABA yetu.

Kwani wanaoenda kwa waganga hawatoi sadaka ya damu kama kuku mbuzi cow mpaka binadamu lakini BABA yetu alijitoa sadaka ya DAMU pale msalabani hivyo ndio mana akamdirect kwa YESU KRISTO kwani alishalipa yote its just the matter of asking and follow his commandments.
 
Nimemkuta Mgalatia mmoja anaombewa kwa Staili mpya hapa.
Yaani kumtaja YESU wetu ndio imekua shida mpaka mnarauka hivi Hahaha! Kweli JINA la YESU ni moto kila litajwapo mapepo yanakuwa uncomfortable yanachomeka ndio mana mmekosa amani kabisa mliposikia JINA YESU.
 
enyi wagalitia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
'majini' ni kielezi kinachoelezea mahali (ndani ya maji)so bila kupoteza wakati nenda baharini kule utapata utajiri wa majini kwa kujishughulisha na uvuvi
 
Ukiwa na zana za kisasa na ukavua kwa utaalamu bila kutumia baruti sababu ukitumia baruti utaua viumbe wengine ambao hutawatumia. Na nyavu khasa ukiwa na nyavu nzuri aah ndg mwaka mmoja utakuwa mbali watu wengi wamepata utajiri ziwani na baharini so utajiri wa majini ukiwa makini na zana murua unaupata

Mkuu kumbe watu wachache sana tulomuelewa huyu jamaa, watu wote wameingia chaka, duuh
 
Jambazi wewe hili unalijuwa,
Ila siyo lazima mkeo/mumeo hata mtoto wako pia inakubalika.
Yule wa Zambia? unaenda na mkeo wew mwanaume unaoza funza wanakutoka mwili mzima mkeo ndiyo anakuwa na kazi ya kuwazombea hao funza kwenye mfuko na endapo mkeo atalia na wew unafariki! hyo ni ngumu
 
Last edited by a moderator:
Nenda tunduma. Ulizia wanakotupa punje. Au uluzia mganga wa funza.
Anaitwa mwanandulame kuna aina mbili za utajili kuna wa punje za mahindi unamtupia kuku akila ndo miaka utakayoishi pili kuna hii ya funza mnashauriana either mkeo aoze umtoe funza au wewe ndio uoze wale funza utakao tolewa kwa siku mbili ndio kiasi cha pesa utakachokua nacho so jaza mabeseni ya funza mkuu
 
waone hawa...
1) gwaji
2) katotoizi
3) mwingi
4) rwaka
5) mzee wa upak

ndg yng utabakia kunyooshea vidole watumishi wa Mungu mpk lini?? wenzio wanasonga mbele ww utabakiaga hapohapo na hivyohivyo ulivyo.
 
ndg yng utabakia kunyooshea vidole watumishi wa Mungu mpk lini?? wenzio wanasonga mbele ww utabakiaga hapohapo na hivyohivyo ulivyo.
kweli wanasonga mbele, ila njia wanazotumia ndio za majini haiwezekani karne hii uanze kusema unafufua watu
 
kweli wanasonga mbele, ila njia wanazotumia ndio za majini haiwezekani karne hii uanze kusema unafufua watu

sasa hapo cha ajabu nn?? kwani Yesu sialisema fufueni wafu, takaseni wenye ukoma mmepewa bure toeni bure!!! au mwenzetu neno limekupitia pembeni??

kama unaona ni rahisi kivile, na wewe fufua majini yameejaa tele kwa mtt wa aliekuwa mnajimu wa nyota..
 
mimi ni muislam siamini hayo majini kwangu ni mungu pekee ndio ana msaada kwangu, hivi wewe umefiwa nandugu zako wangapi ambao unawapenda? mbona huendi kwa gwajima akakufufulie? watu wanauwa kwa sababu za kigaidi ndugu zao wanabaki wanalia kwanini hii mitume na manabii wasasa hawaendi kuwafufua hao na kuwafuta machozi ndugu zao? wajinga ndio waliwao
 
yesu kristo ndiye mungu wetu sasa unataka watoto wake tumuombe nani kama sio kwa baba yetu mambo yote tunayapata kwa baba kwani yeye ndiye aliyetuumba akatuweka hapa duniani na atatuchukua hivyo he is responsible
for our wants and all welfares shortly is our provider na kutoa sadaka mahali sahihi ndio tabia aliyotufunza baba yetu.

Kwani wanaoenda kwa waganga hawatoi sadaka ya damu kama kuku mbuzi cow mpaka binadamu lakini baba yetu alijitoa sadaka ya damu pale msalabani hivyo ndio mana akamdirect kwa yesu kristo kwani alishalipa yote its just the matter of asking and follow his commandments.

aah! This is too much yesu ndo mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom