Natafuta Utajiri wa Majini

Natafuta Utajiri wa Majini

Haswaa ! wenzako wanaombewa utajiri Kanisani kwa jina la Yesu. Ukitaka magari, kusafisha nyota, kupanda cheo, kupendwa (ngekewa) kuepuka madeni, kupandishwa mshahara, kufaulu mitihani, biashara kuchanganya, basi taja jina la Yesu. Usisahau bahasha ya sadaka
Huyu Qafir lazima atapike.
 
Ukiwa na zana za kisasa na ukavua kwa utaalamu bila kutumia baruti sababu ukitumia baruti utaua viumbe wengine ambao hutawatumia. Na nyavu khasa ukiwa na nyavu nzuri aah ndg mwaka mmoja utakuwa mbali watu wengi wamepata utajiri ziwani na baharini so utajiri wa majini ukiwa makini na zana murua unaupata

Mkuu out of point...huyu amaanishi hivyo!!chee majin wale wanaidhuru watu does not water bodies mkuu
 
Hata ukiupata huwezi mfikia bil gate hata dangote au rostam,sasa wa nini?.tafuta mbinu ujiunge na CCM lumumba buku 7 upate. ya mboga.jipendekeze kwa chenge na riz1.
 
Yule wa Zambia? unaenda na mkeo wew mwanaume unaoza funza wanakutoka mwili mzima mkeo ndiyo anakuwa na kazi ya kuwazombea hao funza kwenye mfuko na endapo mkeo atalia na wew unafariki! hyo ni ngumu

Mkuu Jambazi nimeipenda hii stry nieleweshe zaid..
Inakuaje.?
 
Last edited by a moderator:
Haswaa ! wenzako wanaombewa utajiri Kanisani kwa jina la Yesu. Ukitaka magari, kusafisha nyota, kupanda cheo, kupendwa (ngekewa) kuepuka madeni, kupandishwa mshahara, kufaulu mitihani, biashara kuchanganya, basi taja jina la Yesu. Usisahau bahasha ya sadaka

Nimemkuta Mgalatia mmoja anaombewa kwa Staili mpya hapa.

View attachment 245010
 
utajiri wa majini upo tu tena kama ulivyosema, unapatikana kwenye maji, ogelea ushinde medali, vua samaki uuze au tumia hayo maji kufanya kilimo cha umwagiliaji

pia unaweza kuuza maji ukapata utajiri wa majini i.e. utajiri wa kwenye maji
 
Watu wa sasa wengi ni wanafiki sana na mtu anapokua muwazi anaonekana mjinga na kumtupia matusi mengi, kila mtu ana udhaifu wake kama mlikua hamuwezi kumsaidia munyamaze au mpeni ushauri wenye hekima.

Ssasa utakuta ndio viongozi wanaziddi kutuumiza kwa viumbe wajinga kama hawa.

Ndugu yangu mleta mada usikate tamaa hili ila uwe makini, haya majini yanaweza yakakupa utajiri ila mwisho wa siku wengi wamedhurika na kupoteza vizazi kwa vizazi na sababu kubwa ni jinsi ya kuweza kuyatumia hapo ndipo yanapowazuru.

Kwa sisi waafrika ni adimu sana umkute mtu anatumia utajiri wa majini akamalizia salama maisha yake ni kama wapo ni mmoja kwa 1000.


Hili linatokana kwa dharau ambazo baada ya kupata Muafrika huwa ni mtu wa kugeuka na hajui alipotoka ni tofauti na Wazungu wanaotumia majini tangu karne zilizopita bila ya mashara na mpaka leo wanayatumia


Kama unatafuta hii kitu uwe makini kuanzia uhai wako, watoto wako, ndugu zako na kizazi chako chote kijacho.

Nina rafiki yangu anatumia Jini ana utajiri mzuri lakini mpaka sasa ameshawazika wake zake 4 na yeye mwenyewe hujui kabisa kama ni tajiri anatembea na yeboyebo hafungi hata vifungo vya shati.

Nina mwengine ana hotel ya Wageni anatumia Jinn kuvutia wageni ni ajabu sana jinsi wageni wanavopata taarifa ya hotel hio na wala huwezi kuwageuza mawazo hata uwashawishi vip huyu jamaa mpaka sasa amepoteza watoto wake 2 ambao vifo vya majini mara nyingi huua kwa kumwagika kwa damu nuingi gafla.
Kwa kumalizia majini wa kukupatia utajiri wana masharti na huwa sio magumu ni rahisi mno kuyatekeleza hasa mwanzo wa kuingiza pesa ila inakuja taratibu kuyasahau masharti hayo mipesa ikianza kuingia kwa wingi hapo ndipo madhara yanapoanza.
 
Sasa aliyekwambia upo hapa jukwaani nani??? waganga wote waliopo mitaani hujawaona hadi uje ujianike hapa ndugu?? mtafute shekhe yahaya pale magomeni mikumi mambo yote atakuhelp Thugga

Hao wa mtaani si ndio wako huku pia...
 
Last edited by a moderator:
OMG why?

Sali masharti yake unaweza yashindwa...utajikuta utajiri unauona mchungu kama vile upo ndani ya moto.
 
Serious answer: Mtafute Mtafute maalim hassan yahya husein atakupa pete ya kuvaa pia atakutafutia jini flani hiv amazing wa bahati aingie kwenye hiyo pete flan hiv ya kishkwambi..fanya hivo mkuu yupo pale magomeni mwembe chai ama nini? Akisema yes nani wa kupinga?
 
ZUUTH nashukuru ndg yangu ila ninajua nilichokifanya mtu mwenye dhamira ya kutaka mambo hayo hawezi kujitangaza kihivi coz ni mambo ya siri sana. Sasa huyu alitaka kutuwasha gari ndo na mimi nikamtokea kwa style hiyo ila tupo pamoja usjali.
 
Wakuu salamu.
Idadi kubwa ya watu
wanamiminika kwenda Wilaya ya
Meatu Kata ya Mwandoya kwa bibi
kupata Ndagu ya utajiri.
Watu kutoka sehemu mbalimbali
hapa nchini, wakiwemo wafanya
biashara, wafanyakazi, wakulima na
wafugaji wamefika kwa bibi huyo
kupewa dawa ya utajiri.
Wafanyabiashara wakubwa wa
maduka ya jumla katika Miji ya
Arusha, Mwanza, Musoma, Bariadi,
Shinyanga, kahama, Nzega na
Igunga wamefika kwa bibi huyo.
Waliofanikiwa wanarudi na magari,
mabati na pesa za shukrani
kumshukuru bibi huyo.
Hivi huwezi kupata utajiri mpaka
utumie ushirikina? .....nimemkopi humuhumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom