Nani anajua mahali nitapata utajiri wa majini nimechoka na maisha mimi .. Niko serious !
watu mnajifanya kuponda wakati nyie ndio mnalala vilingeni!! hivyo ndivyo mlivyo mpk kwenye familia zenu??
thugga kuna mganga mmoja tu mkweli, jina lake anaitwa Yesu wa Nazareti!!
pole kaka

Nenda tunduma. Ulizia wanakotupa punje. Au uluzia mganga wa funza.