Natafuta Universal GSM Modem

Natafuta Universal GSM Modem

sandman

Senior Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
197
Reaction score
27
Natafuta Universal GSM Modem yenye more than 7.2Mbps.
 
lets say ww unauwezo wa kubeba lita kumi za maji... but ukatumia ndoo ya lita ishirini kuzibebea hzo litakumi... mwisho wasiku utakua ni sawa na alie beba lita kumi za maji kwa kutumia ndoo ya lita kumi...

kupata hzo modem n kaz na n gharama... kwa urahs zaid saf upate smu kama s3, lumia 920 n above au xperia z.. zna hadi mbps 42 so itakubid kuwa unafanya tethering... unless u purchase mtandaon maana bongo hz vtu adim.. washkaj zangu wenye nazo wote wanasema wameletewa na ndugu zao kutoka nje.. mara baba alienda dubai akaninunulia.. mm nmeuliziaga nkakosa
 
Natafuta Universal GSM Modem yenye more than 7.2Mbps.

Njoo kariakoo mtaa wa wauza computer pale (I guess mtaa wa msimbazi) ulizia hapo utapata...

Kama alivyobaini mdau 7.2Mbps modem hazina maana sana or less kama wewe ni light user wa Internet hapo poa ila kama ni heavy user try out some 14Mbps,21Mbps na 42Mbps modem
 
nurbert nimekusoma mkuu. Tethering naielewa ila pia unaichosha simu kwa upande mwingine. Kuwa na powerful modem kunasaida as an alternative.
 
Last edited by a moderator:
Njunwa asante mkuu itabidi niutafute huo mtaa nione kama ntazipata. Hizi normal modem zetu ni very limited.
 
Last edited by a moderator:
shaffin ni Mbps ngapi na huwa bei gani?
529224316_tp.jpg

Mi nilinunua kipindi kile cha Vodafone Expo 15,000/=@ ila sijui kama mpaka sasa wanayo hiyo stock.
 
Last edited by a moderator:
shaffin okay kaka, ntaulizia..asante..kama utakuwa interested kuiuza yako utaniambia.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mitandao yetu ya kibongo inatoa speed gani ya mwisho kwa downloading?
 
Hivi mitandao yetu ya kibongo inatoa speed gani ya mwisho kwa downloading?

Ntakupa analysis ya haraka haraka ila kabla ya kuendelea mbele ni vema kujua baadhi ya maneno ya speed zitumikazo na Telecom companies
1.LTE A.K.A 4G
2.HSPA,HSPA+,DC-HSPA+

Twende mitandao ya bongo

1.SMILE TANZANIA

Hawa nafikiri hamna ubishi kila mtu anawajua kwamba ni LTE na speed yao japo hawaiweka wazi ila Modem zao ni 100Mbps japo 4G inaweza fika hadi 150Mbps

bdau.png

2.AIRTEL TANZANIA
Airtel wamekua wakinadi 3.75G Speed na wengi tumekua tukiwadharau ila ukweli ni kwamba kwa hapa Dar hamna mtu GSM network inaweza wafika hawa jamaa kwa sasa hapa Bongo maana wanadai wanayo minara 400 ya 3.75g
Na kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini wanayo DC-HSPA+ ambayo ni 42Mbps
Na hii imetapaaka karibu Dar nzima hawajabagua maeneo

xce4.png

3.Vodacom Tanzania
Hawa walinadi kwamba watatuletea LTE na WiMAX lakini tumesubiri mpaka matumbo yameuma...
Kwa maeneo nako ishi na maeneo kama matatu nilipowajaribu Vodacom nimegundua bado sana kumfika Airtel maana kati ya hayo maeno niliyoyajaribu hamna hata sehemu wamesoma DC-HSPA+ wameishia tu HSPA+

owae.png

4.MIC TANZANIA
Hawa Tigo wana mbwembe nyingi ila mtandao wao kimeo sana achilia mbali kwamba mwaka jana walitangaza wana 4G yenye max speed ya 42Mbps katika maeneo ya UDSM,UDOM,MAKUMBUSHO na MASAKI lakini sijaona kitu labda watu wanaoishi hayo maeneo watwambie
Mimi ninakoishi wanayo HSPA+

sl4j.png

jlk9.png

5.ZANZIBAR TELECOMMUNICATION(ZanTel)
Hawa wako kote kote CDMA na GSM Technology ila sijaona kipya sana sana katika huduma za huu mtandao
Sometime napata HSPA+ someties HSPA

fkhv.png

6.SMART/BOL
Mpaka sasa hawa jamaa kwa hapa DAR hamna kitu ni full 2G japo wamewapa shavu watu wa mkoani na sisi wa Dar wametuaidi 4G
 
Kuiuza labda nipate nyingine ya 42Mbps kama vipi mcheck njunwa wamavoko ukuuzie ile yake ya zamani ila haisomi Airtel

Nilivosikia ni kwamba Airtel baadhi ya Modem haziwezi kusoma mpaka utumie Dashboard zao sana sana hii Mobile partner inadunda kwa baadhi ya modem
Unfortunatel ile yangu nimempa mtu aijaribu akiipenda atainunua
 
Njoo kariakoo mtaa wa wauza computer pale (I guess mtaa wa msimbazi) ulizia hapo utapata...

Kama alivyobaini mdau 7.2Mbps modem hazina maana sana or less kama wewe ni light user wa Internet hapo poa ila kama ni heavy user try out some 14Mbps,21Mbps na 42Mbps modem

Kwahyo hata kama unatumia line ya voda, hyo moderm inavuta hadi 14 MBPS?
 
Last edited by a moderator:
Kwahyo hata kama unatumia line ya voda, hyo moderm inavuta hadi 14 MBPS?

Ukiangalia hizo picha zangu za hapo juu zinaonesha nadownload mpaka 17Mbps hii inamaanisha kwamba ningekua natumia 7.2Mbps nisingeweza pata hiyo speed kamwe kabisa...ila kwa kua natumia 42Mbps ndo maana unaona inapanda walau mpaka 17Mbps na upepo ukiwa fresh mpaka 20Mbps
 
Last edited by a moderator:
Mbps ina maanisha unadownload Mb tajwa per second?

Mfano 42Mbps inamaana unadownload Mb42 kwa sekunde moja?
Naombeni ufafanuzi please

cc njunwa wamavoko Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Mbps ina maanisha unadownload Mb tajwa per second?

Mfano 42Mbps inamaana unadownload Mb42 kwa sekunde moja?
Naombeni ufafanuzi please

cc njunwa wamavoko Bulldog

Mara nyingi huwa zinachangnya ila hiko hivi

Mbps=Megabits per second
MBps= MegaBytes per secomd

Speed za internet zinapiwa kwa Mbits/sec wakati Mbytes/sec upima uwezo wa kudownload file kwa sekunde...

Mfano mara nyingi Dashboard huonesha speed (Mbps)

Wakati software kama IDM/utorrent uonesha file transfer rate e.g 500KB/sec au 1MB/sec

Kwa kifupi ni kwamba 1MB/sec is uqual to 8Mbps

Mfano kwenye screenshot ya Airtel niloweka kuna 17Mbps ili nipate Ukubwa wa file ninao download kwa sekunde basi ntagawanya kwa 8...hivo ntapata 17/8 is aproximately to 2MB/sec
au Tigo wakisemavwana speed ya 42Mbps basi wanamaanisha unaweza download mpaka 42/8 i.e 5.25MB kwa sekunde moja
 
Speed HSDPA, 21 Mbps; HSUPA, 5.76 Mbps

Kwa mujibu wa GSMArena hii ndio speed ya kimeo changu
Je inamaanisha nagawa ipi kwa 8 ilinijue siwezi kuzidi hapo kwenye downloading?
Ni simu naitumia kwa wifi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom