Natafuta ufuta mweupe au mweusi

Tumainiandy

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
429
86
Wandugu mwenye bidhaa pendwa ya ufuta mweupe au mweusi tutafutane.
Compositions kwa ufuta mweupe
Moisture 5% Max.
Fat (Oil) 48% Min.
Ash 6% Max.
Protein 20% Min.
Carbohydrates 10% Approx.
Crude Fiber 5% Max.
 
Hivi ni kweli hakuna wauzaji wa ufuta au hili zao nalo nimekuwa hadimu mwaka huu
 
Hivi ni kweli hakuna wauzaji wa ufuta au hili zao nalo nimekuwa hadimu mwaka huu

Mkuu huwezi kupata ufuta kipindi hiki cha Mwaka, ndio upo shambani watu wanafanya palizi saa hizi subiri mwezi wa sita mpaka wa saba ndio mavuno yanaanza.

By the way unanunua sh ngapi kilo?
 
UFUTA na CHOROKO
Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho.

BEI YA LEO
Ufuta: 2,600/= kwa kilo
Choroko: 1,100/= kwa kilo

Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Wandugu mwenye bidhaa pendwa ya ufuta mweupe au mweusi tutafutane.
Compositions kwa ufuta mweupe
Moisture 5% Max.
Fat (Oil) 48% Min.
Ash 6% Max.
Protein 20% Min.
Carbohydrates 10% Approx.
Crude Fiber 5% Max.



Habari, kama unahitaji mbegu ya ufuta mweupe, karibu sana

Namba zetu #0717172947
 
Back
Top Bottom