Natafuta tv flat screen inchi 40 na kuendelea

Natafuta tv flat screen inchi 40 na kuendelea

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Wanajamvi
Salaam;

Nahitaji tv yenye ukubwa tajwa aina yoyote,isiwe imechoka sana! Bei maelewano..! Mwenye nayo atume picha hapa na bei halafu aje inbox aweke number ntampigia!

Nawasilisha!!
 
Hapo halo nami nahitaji chogo kuanzia 21 nchi Nina elfu sitini kwa alienayo nahitaji niko dar
 
Me nataka ya mkononi,huyo anatangaza lkn ni bidhaa ambayo ipo dukani..me nataka ya mtu ambae anashida amekwama nimkwamue na hapohapo na mm anikwamue!!
Kiufupi ni ili mkwamuane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom