🤣🤣🤣🤣 kwanini lakini?Kama siyo ya wizi, itakuwa fundi amekushauri uuze.
Utajuaje? Kama haiwaki ndio anaiuza?Samsung inch 50 kwa 350,000/=???
Hiyo tumia wewe tu...
Hahaa mkuu tv iko vzr kabisa..njoo nikuuzie me nataka kubadilisha nyingineThat's why nimemwambia atumie yeye tu.
Hahaa roho ya paka hii mkuu jiwe jiwe naomba uje nikuuzie nahitaji hiyo hela fastaUtajuaje? Kama haiwaki ndio anaiuza?
Mkuu njoo nikuuzie utambe na kitu cha maana hikiSamsung inch 50 kwa 350,000/=???
Hiyo tumia wewe tu...
lete hela wewe wachana na maswali ya kiwakikwanini lakini?
.....mbona tena una nongwa!!!Kama siyo ya wizi, itakuwa fundi amekushauri uuze.
Sina hela mkuu 🤣lete hela wewe wachana na maswali ya kiwaki
Ni smart?Ungekuwa na 350,000 ningekupa nch 50 Samsung
Njoo inbox tuongee nikuchukulie mpya sehemu kama utaweza Bei nzuriMwenye Hisense inch 55 used au LG inch 55 used aje
Nishapata mkuu. AsanteNjoo inbox tuongee nikuchukulie mpya sehemu kama utaweza Bei nzuri