Mi ninayo sema uko wapi?Kichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo'
Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv
Mkuu labda kama unataka tv ya bei ndogo au mangumashi, vinginevyo nenda dukaniKichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo'
Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv