Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,169
- 29,876
Pole sana , lakini ukiugundua ugonjwa huu ni chanzo cha tiba.Asante mkuu bt hiyo ni light depression yaani depression ya kawaida ambayo mtu anaweza kuistahimili na kuendelea na majukumu yake ya kawaida, hapa naulizia ile major depression au clinical depression ambayo mtu hushindwa hata kufanya majukumu yake ya kawaida
Kaka hivyo vidonge hataweza kumtibu hayo maradhi yake ya Depression hivyo vidonge vitamtuliza sio kumponyesha kabisa kuna dawa za asili za kuweza kumponyesha hayo maradhi ya Depression sio dawa za hospitali haziwezi kumponyesha hayo maradhi ya Depression mimi ninakataa .Kwa major depression ni anti depressants tu.
Zipo nyingi sana na zengine zinafanya kazi kwa mtu mmoja ila sio kwa mwengine na pia zina side effects nyingi so hakikisha unapata dactari mzuri.
Kama anajiweza kidogo angalia kitu kinaitwa cognitive behavioral therapy, hii ni therapy ya kubalidisha mtazamo wako ni one of the most effective depression treatments, kuna vitabu unaweza kudownload au kununua ambavyo ni kama workbook unafanya mwenyewe au upate actual therapist.
Kaka hivyo vidonge hataweza kumtibu hayo maradhi yake ya Depression hivyo vidonge vitamtuliza sio kumponyesha kabisa kuna dawa za asili za kuweza kumponyesha hayo maradhi ya Depression sio dawa za hospitali haziwezi kumponyesha hayo maradhi ya Depression mimi ninakataa .
Natural Remedies for Depression
Drink green tea Kunywa Kilimanjaro Green Tea kwa siku mara 3 utapona
I know this seems terribly counterintuitive to number 4, seeing as how green tea also contains caffeine, but it has one other extremely important constituent: L-theanine. L-theanine works synergistically with caffeine to boost mood in such a way that you don’t get the same crash-effect. It has its psychoactive properties because it is able to cross the blood-brain barrier, and has been shown to reduce stress as well as boost dopamine and the brain inhibitory transmitter GABA.
You will need…
-1 cup of boiling water
-1 green tea bag
Directions
First thing in the morning, with your breakfast, steep a cup of hot, fresh, green tea. Drink the whole thing.
View attachment 572646
pole sana kimberlite .vip saiv hali imetulia !?I have been depressed and its something i would never wish on anyone.i couldn't sleep, i couldn't pray, i had suicidal thoughts ni balaa. Nilikua nachukia mornings coz of the length of hours that i have to deal with people. Ikifika usiku nayo ndo kero zaidi maana i couldn't sleep naweza ingia kitandani sa mbili ila mpaka sa tisa nipo macho. For me nilitumia anti depressants za kawaida na sleeeping pills kunisaidia kulala. Ila ki ukweli nahisi ni Mungu tuu kanisaidia kutoka huko nilipo kua.
As for you mkuu Cataliyya ungejaribu kuonana na wataalam (psychiatrist) wangekusaidia zaidi
uwe unajitahidi kuwa sehemu za watu wengi..Asante mkuu navyofahamu mimi tatizo langu ni kwamba dopamine ni kubwa kuliko serotonin thus why akili inakua inaenda mbio, so i need to boost serotonin so i need serotonin boosters, nkitumia SSRI (Serotonin selective reuptake inhibitors) hua napata nafuu sana, ila nkiacha kutumia kwa miezi kadhaa hali inarudi
Medical marijuana,hyo ndio mama wa dawa zote za dipression duniani.Tafuta highgrade kush,tupia msumari moja tu kwa siku,jioni baada ya kumaliza shuhuli zako,utajionea maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu,unaweza kufanya research zaidi mtandaoni utapata maelezo mujarrab zaidi,nimejaribu kuelezea kwa kifupi hapo.
Kwa kifupi ukiwa na depression au stress na njia nyengine zimefeli kukusaidia tafuta eneo tulivu yenye mzunguko mzuri wa hewa,uwe umeshiba vizuri na umekunywa maji ya kutosha,relax, piga msumari wako mmoja ulionyooka,sio hii ya miambili ya huku uswazi,pembeni una soft drink,hakikisha hakuna makelele wala usumbufu na iwe jioni baada ya kazi.ukimaliza uoge ulale.utajionea maajabu ya huu mmea
Ndio mkuu.. namshukuru Mungu sana saivi nipo poa sana.pole sana kimberlite .vip saiv hali imetulia !?
Tafuta kitabu kinaitwa (The Power of Now) .kitakufaa sana dada na kinaweza hata kuwa sehemu ya tiba ya depression yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
I have been depressed and its something i would never wish on anyone.i couldn't sleep, i couldn't pray, i had suicidal thoughts ni balaa. Nilikua nachukia mornings coz of the length of hours that i have to deal with people. Ikifika usiku nayo ndo kero zaidi maana i couldn't sleep naweza ingia kitandani sa mbili ila mpaka sa tisa nipo macho. For me nilitumia anti depressants za kawaida na sleeeping pills kunisaidia kulala. Ila ki ukweli nahisi ni Mungu tuu kanisaidia kutoka huko nilipo kua.
As for you mkuu Cataliyya ungejaribu kuonana na wataalam (psychiatrist) wangekusaidia zaidi
Pole sana na ubarikiwe sana kwa uvumilivu wako walahiPole sana , lakini ukiugundua ugonjwa huu ni chanzo cha tiba.
Usipoufahamu familia nzima inaweza kuteseka kwa tabia za mgonjwa.
Mke wangu almanusura tuachane kutokana na vitimbi alivyokuwa akionyesha.
Ni bahati tu tulishauriwa kumwona daktari psychiatrist, pamoja na mke wangu kukataa katakata lakini baadaye alikubali.
Baada ya matibabu ali improve sana.
Depression ni aina ya ugonjwa wa akili, ambao daktari alinijuza kuwa ni watu wengi tu wanaugua, ila hawajijui.
Dawa alizopewa mke wangu ni Oleanz, dosage ambayo anakupa daktari, pamoja na vidonge vya Benzhexol.
Dawa hizi zina side effects hivyo ni muhimu kuonana na daktari
Ni ugonjwa unaotesa sana.
Pole sana na ubarikiwe sana kwa uvumilivu wako walahi
Mkuu mi nilitumia Amitriptyline. I was warned though kwamba ni addictive na naweza pata withdrawal symptoms wakati wa kuacha. Ila I'm glad earlier this year nimeacha kabisa kutumia both the anti depressants na sleeping pills without any effect.Pole sana mkuu, je unaweza kukumbuka aina ya antidepressants ulizotumia?