Bahati mathiad
Member
- May 17, 2017
- 8
- 0
mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
uko wapi sasa? mkoa gani?mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
Katoa namba mpigie.uko wapi sasa? mkoa gani?
Km una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahamamimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
Unaoga, unavaa nguo za kununua, unajipaka mafuta ya kununua, unapanda daladala kwa nauli, alaaaaaaafu unaenda kumfanyia mtu bure?jifunze kujitolea
Leseni mie ninayoKm una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahama