habari zenu wana jf ,husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta tablet ya android ya ku buy iwe used au new vyovyote naombeni msaada bei yoyote chini ya laki 5
:smiling:
Tafuta tecno phantom n9 ipo poa sana nina mwaka nayo sasa sijapata tatizo.