Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.
Natanguliza shukrani zangu.
Roky.
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA - Mfuko wa Pembejeo
Maelezo: http://www.agriculture.go.tz/attached%20web%20pages/AGITF/AGITF%20Brochure.pdf
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA - Mfuko wa Pembejeo
Maelezo: http://www.agriculture.go.tz/attached web pages/AGITF/AGITF Brochure.pdf
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.
Natanguliza shukrani zangu.
Roky.
kuna hawa jamaa Private Agricultural Sector Support (PASS)
gonga hapo chini ...
Private agricultural sector support
Nenda Tanzania Investment Bank
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.
Natanguliza shukrani zangu.
Roky.
Thanks mkuu, lakini TIB wanasisitiza kuwa na security.
Hapo nimekwama, maana hati ya nyumba sina.
Security ndio kikwazo kwetu sisi kwa wajasiriamali wengi.
Labda kama benki ya kilimo (Tanzania Agricultural Bank) itakuwa na tofauti katika swala hili.
Mkuu ni taasis moja tu inatoa mikopo ya kilimo ambayo ni Private Agricultural Sector Support (PASS)wasiliana nao info@pass.ac.tz
Hawatoi mkopo wanachofanya ni kukuandalia Mchanganuo na kukuombea Mkopo CRDB au TIB na 10% ya Mkopo ni yao na lazima uwe na security vilevile uzushi mtupu
Hawa PASS si ndo wale ma Prof wa SUA? ni wasanii na wazushi sana hakuna kitun pale wako kibiashara sana