Natafuta taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo

Natafuta taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo

Duh nilifikiri ningepata uongozi mzuri lakinii duh, haya makampuni naona mtihani mtupu! lusungo tpaul @
 
Last edited by a moderator:
Duh nilifikiri ningepata uongozi mzuri lakinii duh, haya makampuni naona mtihani mtupu! lusungo tpaul @

CCM ni usanii mtupu. JK alichukua fedha zetu za EPA akatudanganya atafungua benki ya wakulima kumbe ilikuwa gelesha tu.....kachukua zile noti na kwenda kuzitumbua kijijini kwake Msoga. CCM ni zaidi ya shida.
 
Last edited by a moderator:
jaman hvi kweli hakuna taasisi inayoweza kusaidia wakulima mikopo yenye masharti nafuu?
 
JK alisema hii benki ingekuwa imeanza kazi hadi December last year sijui imefia wapi au ni kichaka kingine cha EPA
Ilishaanza tangu mwaka jana mkuu..na inafanya kazi...fuatilia
 
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpung
Nilisha waaproach ni wazushi mbaya aisee
MKUU ROKY ULIFANIKIWA KUPATA AU MAGUMASHI?
a na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.

Natanguliza shukrani zangu.
Roky.
 
wakuu salama nahtaj kuwekeza kwenye kilimo na kama mnavyojua kupata mikopo n ngum sana watahtaj Hati ya nyumba nk sasa naomba msaada n taasisi gan zinatoa mikopo kwa masharti nafuu haswa kama unawekeza kwenye kilimo? Nitapokea ushaur na kila maoni asante
 
TaDB a.k.a Banki ya Kilimo Tanzania hawakopeshi watu binafsi wala makampuni, wanakopesha vikundi. Kwa kifupi ni kwamba matarajio tuliyoyategemea na kinachoendelea ni vitu viwili tofauti.
Tulitegemea ingekuwa mbadala wa TIB, kwa hali ilivyo mara mia TIB anasomeka ila sio hawa jamaa.
 
Screenshot_2017-03-01-04-31-08.png
Screenshot_2017-03-01-04-30-48.png
ela zipo, na watanzania wenzetu wanazipata. it high time now kwa watanzania tuamke kuzitafuta huko zilipo.
 
Screenshot_2017-03-01-04-37-22.png

ni muda sasa wa kujipanga na upya kutafuta funding za hivi. hizo ni grants, hakuna mtu wa kukudai.
japo kwa uzoefu niliouona kwa makampuni yaliyofanikiwa kupata grants ni kwamba hawakupata grants kwa idea tu, tayari walishafanya pilot project japo in small scale kuthibitisha what is in papers can be achieved. bila pilot project hizo fedha utaona zinatunisha mifuko ya wengine tu.
 
Back
Top Bottom