Natafuta taa ya duet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta taa ya duet

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mashimbamang'oma, May 4, 2012.

 1. m

  mashimbamang'oma Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau baraza jipya la mawaziri limeteulia... Ila nasikitika sana kukosekana kwa Mwanri...
   
 2. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ..non sense, sio jukwaa lake hili, umelewa?
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  humu labda utapata M4C .... hizo spea nyingine kaulizie kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  We mgeni jf? Wrong place
   
 5. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nenda facebook...
   
 6. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  sasa hii inaingia vp humu kwenye jukwaa hili jaribu kuonyesha ukomavu kidogo
   
 7. H

  HenrySumari New Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuma no. ya taa na upande unaoutaka au piga 0759621621
   
 8. C

  Cupid 50mg Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda kule FB!!.
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umetafuta mitaa gani ukakosa? Umeandika kwa kifupi sana kiasi kwamba haueleweki kama umenshindwa na sasa umekuja hapa.

  Nenda mtaa wa December duka la Senya kaulize, ukikosa hapo nenda maduka yanayotazama na barabara mpya inayojengwa hivi sasa
  au muulize Senya atakusaidia.

  Ukishindwa fanya jitihada ya kuagiza Dar kupitia kwa hao washikaji niliokueleza.

  Ukishindwa kabisa nipe kazi hii niisake Mbeya nikapata nikutumie.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nenda Saba general au Kisangani Kama unataka used nenda pale ulala Karibu na secondary ya alharamain
   
 11. H

  HenrySumari New Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana mtandao
  Naombeni mniwie radhi kwakitendo cha kumjibu aliyeulizia spea kwenye jukwaa la siasa
  Nilishindwa kuelewa kama si mahala pake kwa wakati hivyo mniwie radhi sana.
   
Loading...