Natafuta sperm donor

Dahhh..

Hii fursa ilinipita hivi hivi aiseeee.....
Yaani ilikua ni kama gari la beer limeangukia mlangoni kwangu
 
inawezekana tabia zako sio nzuri the way unavyo vaa, pengine ni mlevi wewe, unapenda sana urembo! sisi wanaume hatuwezi kupoteza ukoo kwa watu kama ninyi msio jitambua. unataka sperm,alafu iweje? mtoto anakuwa wa mama babayake? akiri fupi izo! hata kama unasema unadegrees! zitakuwa za makalatasi tuu hakuna kitu hapo!
 
Ushauri ni vema ungetafute MUME wa kuzaa nae ila hapo utakuwa unazini tu na mtoto utakae mzaa atakuwa wa nje ya ndoa huoni si jambo zuri
Kama nimemuelewa mleta mada ni kwamba hajaja kuomba ushauri, bali anahitaji ku fulfill haja ya moyo wake. Na ametanabaisha kwamba... kama hamtaki kuwaoa, na yeye ameumizwa sana tayari, pia umri umeanza kumuacha. Hivyo anaona ni bora akipata mtoto ili aweze hamishia mapenzi kwa mwanae.
 
Sa donor anaanzaje kuwa karibu tena kama mmeo...we kama unataka ni kitendo cha kutega na ukipata unaendelea mbele....
 
hapo ndipo ndugu zangu ndipo mnapo jidhalilisha watu wengi humu account zao si za kweli wengi wao wanaweka hata majina feki huyo jamaa anataka kuwaona watu wenye uchu mko wangapi. Hivi kweli mishababi iliyo jaa Dar yote hiyo akose basi atakua na gundu la bundi na kama anasema anajimudu msingi kiuno mjini wako tele ni wa kuvuta mkono tu ki ufupi huyo dada/kaka anazingua.
 
mi ya kwangu nauza ayse..

orgasim moja 100mls lakimoja..
pm tufanye biashara
 

Asante mkuu ila kila mtu na maisha yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…