Natafuta sperm donor

This is what am talking about... Yeeeeeaaaah.... come to me... Nimeshajitokeza kama Kiwi...
 
Mie niko serious natafuta mwanamke wa kuzaa naye... Ukikubali nitakuhudumia kila kitu na mtoto nitalea vile vile... Sijaamua kuishi na mwanamke kwa sasa but ninahitaji kupata mtoto maana na mie umri ushanitupa mkono...
Kama mimi sio mweupe ila pia sio mweusi... Ni maji ya kunde flani hivi... Kielimu nimesoma mpaka kiwango cha masters na ni kutoka hichi chuo chene hadhi ya juu hapa nchini. Kwa hiyo usiwe na wasi wasi kuhusu kuzaa mtoto kiraza...
Yani niko serious kupita maelezo... Njoo tu tusainishane mikataba kuhusu uhusiano wetu na kuhusu wajibu wangu juu ya mtoto atakayezaliwa...
Kama uko tayari nichek PM...
 
Tafadhali Mkuu Nakuomba Ni PM Haraka Sana
Pole na kuumizwa kwasababu kila binadam ana kipimo cha majarbu katk dunia hii jitahid kuvuka ayooo kwani mbele itakua furaha kwakoo maumivu n yetu tangu kipnd Adam na hawa walipo hasi jitahd na utampata akupendaye,kwa dhat kabisa mbona Sarah alizaa mtoto wake akiwa mzee wa kutoweza beba mimbaaa ni ushauri samahni kama nitakua nimekukwaza

 
single mother ndo nini? kuna double mother?
ukipata uniambie dear na mimi nataka financial donor
wee yawezekana lugha hio ilikupita pemben. s.mother ni mwanake anayejilelea watoto peke yake(siyo widow).

sawasawa??
 
alafu ni kama nakufaham vile. ww sio ...kweli? wa kuule!! anyway kila la kheli.
 
Degree zangu zatosha na mtoto hubeba akili ya mama so baba hata akiwa la saba kwangu its ok
thubutu...eti hubeba ya mama. kumbe genetics bado ni janga la kitaifa!!!!
 
Kila tatizo liko Dar.

In short sifa ulizotoa nnazo but so mweupe afu niko mikoani





Afu kama unaweza kufanya artificial insemination niko tayari ku donate but kama zinaaaa hawezekani.

NB Nna sura ya kiume afu mrefu wa 6. Ft & 5 Inch
 
Mimi niko tayari kua nawe kipindi cha mimba ila sina sperms...
 
Umeumia kwa sababu yu seem to be too selective and arrogant, pole unaweza chepuka na jamaa wa aina unayoitaka mwambie atumie Condom na uibe mbegu akimaliza mchezo na kasha weka mbele ya banana zitakupa mimba. Ila kwa sasa mwanaume hatokuwa tayari kuzaa motto amwache labda mwenye njaa ya maisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…