Natafuta Soldering Machine

Natafuta Soldering Machine

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Natafuta Soldering Machine na vifaa vyake, mchine hii ni ile inayotumiwa na mafundi simu katika kuchomelea vifaa vya umeme(angalia mfano wa picha).

Mhitaji yupo Dar
Iwe mpya au used(kwenye hali nzuri).
0684 14 14 76
 

Attachments

  • solderingmachine.jpeg
    solderingmachine.jpeg
    7.5 KB · Views: 32
Ebwana hio inaweza kufika laki tano, zinapatikana
 
Back
Top Bottom