Dereva taxi Mtandao/Bolt

Dereva taxi Mtandao/Bolt

Ben golden

Member
Joined
May 12, 2025
Posts
22
Reaction score
9
Habari!

Mimi ni Ben - Dereva mzoefu na Nina akaunti ya bolt na farasi pia nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Kwa umakini WA Hali ya juu, Natafuta Gari ya Mkataba kwaajili ya kutumia kwenye Bolt na rides zingine Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu binafsi au Kampuni, Naomba ushirikiano Wapendwa Kwa wenye nafasi.

Namba zangu Hizi:
0614424736
 
Kazi ni uaminifu utapataa
 
Kwanini usifanye maombi serikalini? Au bolt ina hela na future nzuri kuliko ungekua dereva serikalini? Last month Tanesco ilitaka madereva 100 leo naona posts hizo

Screenshot_20261105-181234.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom