bigpack1982
Member
- Apr 20, 2011
- 75
- 20
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.
Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.
Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.
Natanguliza Shukran zenu.