Natafuta soko la samaki kambale na sato

uchube

New Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wana jf naomba muongozo kwa anaejua soko la kambale na sato
 
Mie naomba kujua chakula cha kambale kinakuwaje na ni bei gani pia mahali kinapopatikana kwa Dar es salaam
 
Mi pia nataka nianze hii biashara sijui inalipa maana kwetu ifakara wengi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…