Nahifadhi katika viroba tu mkuu kama ni swala la soko la kimataifa ni swala la maandalizi tu kama litapatikana basi tutajipanga Kwahivo kwa vifungashio vinavo endana na soko la nje.Tupia picha ya shamba lako kuonesha mazao yaliyonawiri na je pilipili ukivuna unazihifadhi katika vifuko / vifungashio bora tupige mnada katika soko la dunia ?
Packaging n Labelling (Umuhimu wa vifungashio ili kupata bei ya juu zaidi)
Source: pius pius