khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
Habarini. Natafuta soko la maziwa nipo Dodoma lita 500 kila siku asubuhi bei 1500/- kila lita mawasiliano 0683670160
mkuu hongera sana ..... ningekushauri uanze kufikiri uwezekano wa kufanya processing ndogo hapo Dodoma ..... pasteurization na kupack katika pakiti ndogo za 33-500mls fresh milk sachets .... pamoja na cup yoghurt milkMwenye soko jamani nipo Sirius
Una uzoefu nao? Unipatie contact zao?Au awasiliane na Asas diaries iringa, Asas wapo ktk program ya sagot, wananunua maziwa from wakulima wadogo na wanawasapot pia, jaribu kuwatafuta..
Tumia Google bwashee namba zao utapata kwa urahisi sanaUna uzoefu nao? Unipatie contact zao?
Nakupa inboxUna uzoefu nao? Unipatie contact zao?
YanafikaLakini Dodoma ni mbali, mpaka Dar yatakuwa yameharika au unayatunzaje
Unayatunzaje mkuu, nione labda naweza kununua kidogoYanafika