Natafuta soko la maziwa fresh ya ng'ombe

Kesho Asubuhi panda gari nenda Iringa,ukifika uliza viwanda vya ASAS viko wapi,hata mtoto atakuelekeza,nenda kiwandani ongea na manager....atachukua maziwa yako yote tena atahitaji na mengine...ila nahisi hiyo bei yako ni kubwa bei za jumla...mana ASAS naonaga ananunua maziwa KITULO MAKETE ni lanchi ya taifa ya maziwa ila walibinafisisha kwa wazungu nahisi pale kita moja ananunua 500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom