Amani Mazukwi
Member
- Dec 31, 2013
- 9
- 0
Natafuta soko la Mashudu ya alizeti.
Weka contacts chap nahitaji saaaaanaNatafuta soko la Mashudu ya alizeti.
Mashudu yapo DodomaWeka contacts zako.
Uko mkoa gani?
Mashudu yapo DodomaWeka contacts zako.
Uko mkoa gani?
contact pls mm yakwangu ni 0654567777Natafuta soko la Mashudu ya alizeti.
We akili zako hazina akili kweliMashudu yapo Dodoma
Huyu kama sio tapeli ni nina, mtu anaambiwa weka mawasaliano yako una sema niko dodoma mjitu mingine fala kweli... Toaaa tangazo lako na hayo mashudu kula mwenyewe..
Ni pm matusi Siyo ishu, ustaarabu kwanzaHuyu kama sio tapeli ni nina, mtu anaambiwa weka mawasaliano yako una sema niko dodoma mjitu mingine fala kweli... Toaaa tangazo lako na hayo mashudu kula mwenyewe..
Upo vizur kwa kukosoa usichokijuaHawa ndio wajasiriamali wetu, anasema anatafuta soko la mashudu. Soko la mashudu lipo sokoni. Huku ni jf hakuna soko.
Umeambiwa weka contact zako wewe unasema mashudu yako Dodoma.Upo vizur kwa kukosoa usichokijua
Umeambiwa weka contact zako wewe unasema mashudu yako Dodoma.Upo vizur kwa kukosoa usichokijua
Mkuu una mashudu kiasi gani?0718313873