Natafuta soko la mashudu ya alizeti

Hawa ndio wajasiriamali wetu, anasema anatafuta soko la mashudu. Soko la mashudu lipo sokoni. Huku ni jf hakuna soko.
 
unaweza kushangaa mtu kama huyu ana mafanikio,, kwa tangazo kama hili atakuwa anatumia ndagu si bure. husemi uko wp, bei gani kwa gunia, walio mbali na wewe watapataje???????
 
Huyu kama sio tapeli ni nina, mtu anaambiwa weka mawasaliano yako una sema niko dodoma mjitu mingine fala kweli... Toaaa tangazo lako na hayo mashudu kula mwenyewe..
 
Soko la Nchi jirani ya Kenya lipo vizuri mana kwa EAST AFRICA kenya Ni wafugaji wakubwa, Mashudu ni chakula kikubwa sana cha Mifugo tazama zaidi Kenya itakulipa.
 
Huyu kama sio tapeli ni nina, mtu anaambiwa weka mawasaliano yako una sema niko dodoma mjitu mingine fala kweli... Toaaa tangazo lako na hayo mashudu kula mwenyewe..

Punguza jazba mkuu tumvumilie bure tu kiongozi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom