Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Pole sana ndugu, nathan kuna mahali una kosea hasa hasa kwenye internal control zako za biashara. Muhim ni kuangalia sehemu yenye risk kubwa na yenye ushawishi na kuithibiti vingine vitafuata mkondo.
Mfano. Wanapoweka oda na zinapolipwa je zinalandana? mzigo uliopo store na unaotoka na kinachopatikana kinaendana.
Jaribu kuweka watu wawili lakini independent na kila mtu umpe job description yake na ajue mipaka yake ya kazi.

Kuhusu software zipo nyingi sana zinazoweza tatua matatizo yako eg. QuickBooks au Tally ni nzuri na zinazotumika sana hapa kwetu kwenye SME & Individual.
QuickBooks.
Faida:

-Ni raisi sana kutumia hata kwa mtu asiye mwasibu
-Ina report nzuri sana, kwa maana unachokiitaji cha aina yeyote waweza kipata kwa muda wowote.
-Management ya Store na Accounts zipo well arranged naweza kusema,kiasi kwamba mpaka mtu aje kukuibia inaitaji utaalum wa ziada.
-Waweza kuweka credentials(mipaka) kulingana na watumiaji ulio nao na wakazifuata bila wao kujua.

Hasara
-
Ni garama kidogo kama unaitaji orginal version na hii pia utaweza pata access ya mobile phone access kwamba mtu akiuza au mzigo ukitoka store utajua na utaweza jua store kimebaki kiasi gani.

Tally ERP
-
Sio rahisi kutumia, inaitaji muda kuizoea na kuweza kufanya posting na uyamkini wa kukosea post ni mkubwa usipo kuwa makini au kutojua nn unafanya.
-Uzuri ina both Accounts & Payroll kwa wakati mmoja.

Excel
Hii ni nyepesi kwa kutunzia data zako na kupata taarifa kila unapo ziitaji. Ina changamoto lkn nayo inatumika sana.

Note: Hivi vyote ni vizuri na vinasaidia kulinda na kugundua uhai wa biashara yako. Lakini vinaitaji uwekezaji na utayari wa wahusika. Kwa maana, lazima watu wako hao uwapeleke training wajue kutumia, wanaweza wasiwe wote lkn wale kwenye sehemu nyeti ni lazima.

Tunauza na kutrain izi software, tucheki tushauriane na tuone ni kwa jinsi gani unaweza okoa biashara yako.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana
Nimekupata chief
 
Mkuu hapo tatizo ni management theory unayotumia , jaribu kutumia na theory x uone
 
Kati ya hao wanne mmoja n mtu w mahesabu ndo majuz kanununua crown
...
Huyo ndo anakuibia kwa kalamu.

Tafuta mtaalamu wa Tally akuwekee programme ya Tally na akupe mafunzo namna ya kuitumia. Una purchase na kuuza na unaona movement ya stock inavyoeenda. Jifunze pia kuweka records za mauzo, manunuzi na matumizi. Hizo ndizo zitakusaidia mwisho wa siku ujue kuwa biashara inakulipa nini

Na biashara ili iende vizuri simamia mwenyewe rafiki. Mwingine
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
kweni hawatoi risit?
umepata hasara?
Tumia spreadsheet tafuta mtaalam akufanyie VLOOKUP huenda ikasaidia?
Pia Tally kwenye kipengele cha inventory inawezatumika
 
Unahitaji off the shelf software au utengenezewe?
 
Acha kbsaa mkuu vijana wanarudisha maendeleo nyuma sana... me naaamin software makin ndo suluhisho
Sio kweli mkuu.
Ushauri mzuri uliopewa ni kuangalia mifumo/processes zinazohitajika katika hiyo duka (activities), then unaeeka controls kwenye hizo activities.
Ukiweka hiyo vyema them una integret hizo activities na a good software.
 
Mkuu, kwenye pharmacy moja ipo posta jengo la mkapa hio software ndo hii au unaweza kunitengenezea kama hio

Mkuu hiyo ya posta sio kama hii ila kama unadetails zake then tunaweza kukaa pamoja na nikakutengenezea kama hiyo but you can also try to check hiyo niliotoa link hapo ..Whatsap 0758 818117 nikutumie username na password ili uweze kuona features zilizopo na ikiwezekana tuarrange siku kwa ajili ya demo na maelezo zaid kuhusu utendaji wa hii system(PeMS)..............Thanks and Welcome.
 
Mchek buzuka instagram anayo inaitwa duka pro
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
Mkuu funga CCTV camera then uwe una i monitor popote ulipo via networking. Uwe na chumba ambacho information zako zote uwe na access wewe mwenyewe
 
Sasa ntafukuza wangap mkuu...
Usiweke ndugu tupu hapo ofisini..mfano kwenye kuandika order anakuwa si ndugu yako kwenye kukata risiti mwingine na kwenye kupokea pesa mwingine. Unahakikisha hakuna syndicate ya kuiba.
 
Apo labda ufunge cctv camera afu kwenye swala cashier unakaa ww, mteja akija unamwandikia order yake kwenye receipt. iyo receipt mteja anaichukua anapelekea hao ndugu zako anawaonesha, wanamtolea kret kutokana na idadi ilivyo andikwa kwenye receipt then mteja anarudishiwa receipt yake anamwonesha tena mlinzi kuhakiki mzigo ulio toka ndani na uliandikwa ni sawa akisha hakiki anapiga tick mteja anaondoka na mzigo wake. Nadhani kukuibia itakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom