Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Pole sana mkuu. Na mimi nnasubiria jibu hapa.

Pia mtazamo wangu ni kwamba,"Kama mtu sio mwaminifu na ana nia ya kukuibia hata ukiwa na software bado atapata namna ya kukuibia tuu".

Halafu sijaelewa hasara unapataje.Ni kwamba bidhaa hazitoki au zinatoka halafu fedha huioni?
Itapendeza kujua wanakuibiaje ili ujue unawadhibiti vipi .......
Nicheck 0674925934
 
hii inaitwa myshop software inafanya unachohitaji vizuri sana, uzi wake umo humu,utafute kwa jina la myshop software, pia jitahidi kutenganisha kazi ya kupokea hela iwe ya mtu mmoja na ya kutoa bidhaa iwe ya mtu mwingine, pia unaweza kufunga camera dukani kwako

whitehorse
 
unaweza control stock yako, muuzaji akawa anauza tu
f7889b801f2bbdc842fff0023fea2af7.jpg
 
Mkuu namba inapatikana 0710806188,labda mtandao ulikuwa down,na pia kuna mengi tunaweza kushare....
 
pia unaweza kuanda invoice, proforma, delivery note, kufuatilia madeni yako kupitia mfumo wa myshop
 
unaweza kutunza kumbukumbu za matumizi yako, kufahamu bidhaa zinazokaribia kuharibika, kiasi cha bidhaa kilichobaki
 
kupitia MYSHOP Software unapata repoti za mauzo ya siku, wiki na hata mwezi au mwaka, taarifa za mapato na matumizi, kiasi cha bidhaa zilizopo kwenye stock, zinazokaribia kuharibika, zilizoharibika, matumizi yako, profit and loss repoti na nyinginezo nyingi
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
Suluhisho la tatizo lako ni kutumia accounting softaware km vile Tally au Quickbooks, hiyo itadhibiti mianya yote ya upotevu wa mali na pesa hapo dukani kwako.
Kwa nini Tally au quick book itadhibiti ni kwa sababu, inatunza taarifa zote za manunuzi na mauzo, mzigo uliopo store yaani mali ambayo haijauzwa idadi yake, taarifa za mapato na matumizi, yaani nani anadai na nani anadaiwa,taarifa hizi utakuwa unazipata kilasiku pale unapo zihitaji hata kwa kustukiza, mimi nitakufungia hizo program na kukufundisha namna ya kuzitumia, na nitakusaidia kuandaa mfumo ulio sahihi kulingana na biashara yako na pale utapo kwama muda wowote tunaonana nakupa msaada wa kitaalam kwa changamoto itayo jitokeza, amni nikwambiayo kwa kutumia hizo program utadhibiti tatizo kwa asilimia 92% mpaka 97% wasikuogopeshe, nina ushuhuda wa watu nilio waondolea tatizo km lako nipigie 0713 555991
 
Funga CCTV eneo la cashier kwa siri, then Weka na Internet ili uwe unaweza ku view remotely....

Au tumia zile zinazorecord kwa siri unachomeka memory Card tu unafunga kwenye corner kwa Cashier na mlangoni...!

Utaunasa mchezo wao kisha ukipenda utwahukumu ujuavyo!
 
Back
Top Bottom