Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

kupitia MYSHOP Software unapata repoti za mauzo ya siku, wiki na hata mwezi au mwaka, taarifa za mapato na matumizi, kiasi cha bidhaa zilizopo kwenye stock, zinazokaribia kuharibika, zilizoharibika, matumizi yako, profit and loss repoti na nyinginezo nyingi
Aisee nmechek video naona km ngumu kuitumia yaan sio userfriend chief... huna ambayo n simple.
 
Suluhisho la tatizo lako ni kutumia accounting softaware km vile Tally au Quickbooks, hiyo itadhibiti mianya yote ya upotevu wa mali na pesa hapo dukani kwako.
Kwa nini Tally au quick book itadhibiti ni kwa sababu, inatunza taarifa zote za manunuzi na mauzo, mzigo uliopo store yaani mali ambayo haijauzwa idadi yake, taarifa za mapato na matumizi, yaani nani anadai na nani anadaiwa,taarifa hizi utakuwa unazipata kilasiku pale unapo zihitaji hata kwa kustukiza, mimi nitakufungia hizo program na kukufundisha namna ya kuzitumia, na nitakusaidia kuandaa mfumo ulio sahihi kulingana na biashara yako na pale utapo kwama muda wowote tunaonana nakupa msaada wa kitaalam kwa changamoto itayo jitokeza, amni nikwambiayo kwa kutumia hizo program utadhibiti tatizo kwa asilimia 92% mpaka 97% wasikuogopeshe, nina ushuhuda wa watu nilio waondolea tatizo km lako nipigie 0713 555991
Chief huna ya 100% ...?
 
Funga CCTV eneo la cashier kwa siri, then Weka na Internet ili uwe unaweza ku view remotely....

Au tumia zile zinazorecord kwa siri unachomeka memory Card tu unafunga kwenye corner kwa Cashier na mlangoni...!

Utaunasa mchezo wao kisha ukipenda utwahukumu ujuavyo!
Nimekupata lakn brother wakiwa na hatia that means ntawafukuza. Then ntaleta wengine.. the circle continues... ndo maana natafuta permanent solution mkuu
 
Mkuu professor,wasomi watakufilisi na hizo software unazotaka... software haizuii mtu kuiba. Ww umesema una-depo ya kuuza bia,maana yake unauza jumla...!

Kuepuka hilo tatizo fanyakazi kazi kwa kuandika manual,km duka ni kubwa ligawe kwa hao watu wako,kila mtu awe na duka lake. Wote wafanye kwa paper work. Asiyeweza kuandika akupishe. Km una mtaji wa kreti 200 kwa mfano,unagawa kreti 50@. Kila mtu atanunua kwa kiwango chake na ataonyesha kiasi cha kreti alizonunua na gharama zake. Hapo ukiwanya kwa kila kreti utajua kila kreti linagharimu kiasi gani na ukiuza unapata faida kiasi gani.

Hapo utawawekea mfumo utakaoonyesha mali aliyonayo,bei aliyonunulia,bei ya kuuzia,kiasi alichouza,kiasi kilichobaki na faida ni kiasi gani kwa kreti.

Wewe ukija asbh utaangalia balance tu na faida. Unachukua faida mtaji unamuachia akanunue tena kreti zilezile alizouza hata km ameuza kreti moja. Km utashindwa nicheck ntakuja nikuandikie bure tu...!! Me natumia huo mfumo replacement..duka haliwezi kuisha hata kwa dawa,labda aibe kwa nguvu. Na akiiba utajua siku hiyohiyo kwa sababu,atashindwa kununua kiasi cha mzigo anaotakiwa kununua!
 
kwahao machalii hata uwawekee software na hardware gani watakupiga tu, dawa yao wewe kuwa hardware uwafukuze kisha ajiri mhasibu mama mtu mzima kisha ndo uweke software na kamera
 
Maana tunadili na software zote,za mashule,building,pharmace,shops,super markert,hospitals na issue zote,unazohitaji.
Mtu anayeuza software hivi kama njugu muogopeni sana.

Naongea kama software engineer ninayefanya custom software development.
 
Mkuu, tatizo kama lako haliwezi kuwa solved kwa ku acquire tu software.

Kwanza, unatakiwa ukae na mtaalam umuelezee biashara yako, processes zote kuanzia mzigo kuingia, kuwa stored, kununuliwa, kutolewa na kulipiwa. Kila kitu kiwekwe wazi. Katika kila sub-process lazima muangalie taarifa (data) gani zinaingia, kuhifadhiwa, kubadilishwa na kutoka, mhusika ni nani na anafanya vitu gani katika hatua hiyo.

Kisha muangalie kwa makini sana faida yako inatakiwa itoke wapi na ni gharama zipi unazoingia ukiachana na za kununua mzigo. Tumia rekodi zako zilizopita katika hili.

Sasa muanze kukagua kila hatua, angalia ni vitu gani waajiriwa wako wanaweza kufanya vikaua faida yako. Angalia movement yote ya bidhaa pamoja na movement yote ya data na jinsi gani inaweza kuchezewa. Assume the worst katika kila hatua. Angalieni mianya yote.

Baada ya kuona nyufa zilizopo, mtadesign system mpya ya processes na control ambayo inaweka nia ya kuzuia mianya hiyo. Sio lazima iwe software per se - just an established system ambayo lazima ifuatwe katika kils hatua na isipofuatwa basi hatua husika haiwezi kufanyika.

Yani mfano kwa mfumo huo, kama nataka kuuza kreti lazima nifanye A,B,C kwa usahihi, na nisipofanya hivyo nishindwe kabisa kuuza kreti hilo, au nikilitoa kwenye stock lisiingie kwenye rekodi ya mauzo - liwe kama limeibiwa as far as data is concerned. Inaweza kuwa purely hardware based, inaweza kuwa combination ya software na hardware au ikawa purely software based, lakini principles za security, integrity and control ziwe enforced.

Kabla hujakimbilia kununua software, fanya analysis kwanza. Unaweza kujikuta kumbe vijana wanaagiza mzigo wao na wanauza huo badala ya stock yako na wanapata faida to the extent ya kutokukuogopa na kununua Crown wakijua fika huwezi kuwakamata kimahesabu kwasababu hawajakuibia fedha bali wamekuibia wateja, na market space.

Find the root of the problem, THEN sove it.
 
Nmekupata mkuu asante kwa ushaur mzur
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
Mkuu wewe unahitaji kutumia huu mfumo. uangalie link hiyo hapo chini and username na password ingia. jaribu kufanya sales, kuweka inventory, kuadd supply, customer, expenses, angalia report mbali mbali ambazo software itakuwa inagenerate kulingana na data utakazoingiza, na jaribu kuadd user na kuwapa uwezo mbalimbali km kuuza tu au kuweka inventory nk.
software hii itakusaidia kuendesha na kuijua zaidi biashara yako.
km utakuwa interest na hii software tuwasiliane PM mkuu.
Sign In — Tendoo 3.1.5
username = tanzania
password = tanzania255
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.

Du Sana Bro Proffessor, hizo ndizo changamoto za biashara ila cha msingi ningeweza kukushauri ufanye vitu viwili
1.Weka CCTV camera
2.Funga software
Changamoto nyingine kwenye software je itakidhi yale mahitaji ya biashara yako sababu software nyingi utazokumbana nazo ni za kudownload then mwisho wa siku inaexpire na kukosa support ya kutosha pindi utapokumbana na changamoto katika matumizi na isitoshe ukosefu wa elimu ya kutosha kwa watomiaji wa hizo software.

Nini cha kufanya ili upate software itakayokidhi mahitaji ya biashara yako na watumiaji kwa ujumla?

--Hakikisha software inakuwa user friend na iwe flexible yaan can be customized according to business requirements[Hapa ndipo kwenye shida kwa upande wa software za kudownload kwa sababu the source codes are protected na unapata uhakika wa support pindi unapopata matatizo.

NOTE:
Tafadhali hebu check hiyo ambayo ni best in Pharmacy(PeMS),shops and can be customized to meet your busines requirements.
1.Login
2.Login
Hi software nimefunga zaid ya pharmacy/shops 20 tanzania nzima

Kazi zangu zingine ni pmoja na

1.<img src="images/amis.png" width="100%" alt="AMIS PORTAL"><link rel="icon" type="image/gif/png" href="images/amis.png">
2.CCoHAS

Please text me on 0758 818117 to get username and passoword for test.
 
Watu wanaleta habari za quickbook na madude magumu magumu? Hatuhitaji hizo. Hata hizi kompyuta tunazotumia kuna watu waliumiza vichwa kubadili Command usser interface ambayo iliwashinda watu wengi hadi kwenye Graphical user interface ambayo kila mtu anaitumia. Sasa mtu anaomba msaada wa haraka mtu anamjibu akasome ama accounting package? Hakuna watu humu waliosoma kutengeneza software rahisi ambao inaweza kukidhi matakwa ya muuliza swali akaweza kuitumia kama tunavyotumia simu ngumu bila kuisomea? Nadhani wapo, tena waweke wazi na sii kuweka namba ya simu ili umpigie ama kwa nyia ya PM. Huu ndio muda wa wanafunzi na maprofesa wa IT kukunyua makucha yao.
 
Safi sana nafikiri Proffessor anaitaji software ambayo itakuwa developed/customized ile iweze kukidhi ile dhamira yake na sio hayo ma accounting package sababu matumizi yake yanahitaji skills ya kutosha ambayo ni changamoto kwa wauzaji wa madukani/pharmacy.
Na kama nilivyotangulia kusema hapo mwanzo kucustomize software ambazo ni accounting package haiwezekani coz code zimekuwa protected
 
Well said brother
 
Mimi ni professional software developer. Natengeneza specific solutions for business needs. Karibu tupige stori tuangalie ni namna gani utacontrol biashara yako ipasavyo mkuu.
 
Back
Top Bottom