Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,170
Reaction score
3,022
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
 
Pole Sana kaka wapo wajuzi wengi Sana humu kama hawako interested na Valentine watakuja tu stay tuned
 
Msaada wadau... nina depo ya bia na soda kubwa tu.. sasa kuna vijana nmewaajiri wanne naona vitambi vinawatoka... mashavu dodo.. Na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita.. mwingine alinunua gari aina ya volts december wao n kula bata tu.. ni ndugu so nmewaweka shop tusaidiane maisha ... wakati Biashara napata loss karibia kila mwez.. faida ikipatikana n kidogo sana.. So kama kuna mdau anajua software ya shop.. stock.. profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakat naona mzunguko upo.. naamin humu kuna wataalamu watanisaidia....

HABARI,
"Proffesor,
Hongera sana kwa mapambano ya maisha ila asilimia kubwa ya ndugu ni sumu kwenye biashara anza kurudisha mmoja baada ya mwingine kama sio kuwatoa wote kwa mpigo tatizo la ndugu unawaonea haya kuwafukuza mtoto wa shangazi,mjomba umehangaika kutafta mtaji ukikata unarudi kijiweni wao wanaendela na maisha yao.Tafuta mfanyakazi upande wa mahesabu tena awe wa kike mwenye watoto anajua maana ya kazi.
Uko mkoa gani ndugu.

LUMUMBA
 
Msaada wadau... nina depo ya bia na soda kubwa tu.. sasa kuna vijana nmewaajiri wanne naona vitambi vinawatoka... mashavu dodo.. Na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita.. mwingine alinunua gari aina ya volts december wao n kula bata tu.. ni ndugu so nmewaweka shop tusaidiane maisha ... wakati Biashara napata loss karibia kila mwez.. faida ikipatikana n kidogo sana.. So kama kuna mdau anajua software ya shop.. stock.. profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakat naona mzunguko upo.. naamin humu kuna wataalamu watanisaidia....

HABARI,
"Proffesor,
Zipo simple accounting packages kama quickbooks,Tally,Zoho Books vyuo vingi kwa sasa vinavyo fundisha computer huwa wanafundisha accounting packages pia tafuta vyuo hivyo mkoa ulipo.

LUMUMBA
 
Nitafute kwa namba hoi 0710806188 nitakusaidia,ninazo software zote unazotaka
 
Maana tunadili na software zote,za mashule,building,pharmace,shops,super markert,hospitals na issue zote,unazohitaji.
 
Tatizo sio software mkuu Proffesor kwani hata io software itakupatia kinachokuwa posted. Cha muhimu boresha internal control kwanza. Nani anapokea oda, nani anapokea hela/malipo, taslimu au hundi na mengine. Nikipata muda nitakushauri zaidi.
Shusha nondo mkuuu
 
Msaada wadau,

Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua gari aina ya volts december wao ni kula bata tu ni ndugu so nimewaweka shop tusaidiane maisha.

Wakati biashara napata loss karibia kila mwezi faida ikipatikana ni kidogo sana. So kama kuna mdau anajua software ya shop stock profit anisaidie maana nakaribia kufunga depo coz sioni faida wakati naona mzunguko upo.

Naamini humu kuna wataalamu watanisaidia.
Nicheki tuongee 0674925934
 
Pole sana mkuu. Na mimi nnasubiria jibu hapa.

Pia mtazamo wangu ni kwamba,"Kama mtu sio mwaminifu na ana nia ya kukuibia hata ukiwa na software bado atapata namna ya kukuibia tuu".

Halafu sijaelewa hasara unapataje.Ni kwamba bidhaa hazitoki au zinatoka halafu fedha huioni?
Itapendeza kujua wanakuibiaje ili ujue unawadhibiti vipi .......
 
hii inaitwa myshop software inafanya unachohitaji vizuri sana, uzi wake umo humu,utafute kwa jina la myshop software, pia jitahidi kutenganisha kazi ya kupokea hela iwe ya mtu mmoja na ya kutoa bidhaa iwe ya mtu mwingine, pia unaweza kufunga camera dukani kwako
 
Back
Top Bottom