Natafuta simu ya kununua

Natafuta simu ya kununua

ahsante kwani hiyo ni simu gani na bei gani

huawei na tecno naziogopa ndio sababu nikaona bora nipate brand nyingine used kuliko tecno au huawei mpya kaka, ndio idea yangu
 
Nina nokia x2 dual ni android dukani 300,000 mimi ninauza 165,000 bado mpyaa ni nyeupe haina scratch hata 1 afu ina ram 1gb internal 4gb 5mp
 
Kuna moto g toleo la kwanza nauza 180000 ina android 5.1 lollipop
 
Kuna startimes solar 5 HDD 4 Ram 1Gb Camera 13 mp.. Nipe 120,000 tu
0714499248
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom