msihomba Senior Member Sep 14, 2014 117 44 Dec 22, 2015 #1 Mwenye smartphone nzuri na original. Nahitaji.
nyamasaka Senior Member Aug 17, 2014 124 46 Dec 22, 2015 #2 Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani?
F f2rk JF-Expert Member Jan 19, 2013 501 424 Dec 22, 2015 #3 nyamasaka said: Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani? Click to expand... Laki na nusu, uko mkoa upi?
nyamasaka said: Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani? Click to expand... Laki na nusu, uko mkoa upi?
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,083 8,374 Dec 22, 2015 #5 f2rk said: Laki na nusu, uko mkoa upi? Click to expand... Duh!!'!
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Mar 16, 2014 4,131 6,109 Dec 22, 2015 #6 A5 Tshs 550,000 mpya kabisa imetumika wiki 1.nipo dar
SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,343 Dec 22, 2015 #8 msihomba said: mwenye smartphone nzuri na original nahitaji Click to expand... Sema upo wapi
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member May 4, 2013 1,447 378 Dec 22, 2015 #11 msihomba said: Mwenye smartphone nzuri na original. Nahitaji. Click to expand... Wewe ni mnunuzi kweli?
msihomba said: Mwenye smartphone nzuri na original. Nahitaji. Click to expand... Wewe ni mnunuzi kweli?
DUMEGUY JF-Expert Member Aug 15, 2014 499 206 Dec 22, 2015 #12 kuna nokia x2 dual mpyaaaa nyeupe kwa 160000' yan haina scratch hata 1
mankind JF-Expert Member Jan 3, 2011 233 86 Dec 22, 2015 #13 huawei y530 kwa 170,000tsh,bei inashuka.
K kiokosa Member Dec 20, 2015 87 4 Dec 22, 2015 #14 Maduka yako wazi hata christ mas shida mini ubwege au ulazy bum ndio maana DNA zinatuumbua
msihomba Senior Member Sep 14, 2014 117 44 Dec 22, 2015 Thread starter #15 nipo dsm nakuja pm tufanye biashara, pole kwa wanaotaka niende dukani basi wanaouza cm nao waambie wakauze dukani
nipo dsm nakuja pm tufanye biashara, pole kwa wanaotaka niende dukani basi wanaouza cm nao waambie wakauze dukani
msihomba Senior Member Sep 14, 2014 117 44 Dec 22, 2015 Thread starter #16 nyamasaka said: Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani? Click to expand... uko wapi
nyamasaka said: Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani? Click to expand... uko wapi
msihomba Senior Member Sep 14, 2014 117 44 Dec 22, 2015 Thread starter #17 kiokosa said: Maduka yako wazi hata christ mas shida mini ubwege au ulazy bum ndio maana DNA zinatuumbua Click to expand... sio bure una shida kwenye engine
kiokosa said: Maduka yako wazi hata christ mas shida mini ubwege au ulazy bum ndio maana DNA zinatuumbua Click to expand... sio bure una shida kwenye engine
DUMEGUY JF-Expert Member Aug 15, 2014 499 206 Dec 23, 2015 #19 kuna android nokia x2 dual mpyaa nyeupe haina scratch hata 1