Natafuta simu ya android ya 100k kushuka

Natafuta simu ya android ya 100k kushuka

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,878
Weka picha,bei,sehemu ulipo, mimi nipo Mbeya.
Iwe brand inayoeleweka,sema kabisa ina tatizo gani,nataka nimpe shemeji/wifi yenu atupiage picha instargram nimechoka kuwaona kina wema na shilole,
 
Hehehehehehe...!! Sasa hzo za chini ha 100k utamuonea! Mnunulie zenywe zenywe atleast kwanzia 150k
 
Hehehehehehe...!! Sasa hzo za chini ha 100k utamuonea! Mnunulie zenywe zenywe atleast kwanzia 150k

usijali mkuu,nitaangalia na model siunajua wadada hawanaga mambo mengi,wao ni kuchat watssap,fb,twtr,kuchk utube na kuckilza miziki tu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom