Natafuta simu used!

Natafuta simu used!

nokia n 900 with linux based os maemo 5, 32gb memory
 
Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe

Nokia C6 nimetumia miezi 6 nipe laki 4, IPhone 4 nimetumia miezi miwili nipe laki 6
 
Ninayo Nokia C3 ndo ninayotumia sasa kupost na kusoma internet, nimetumia kwa mwaka mmoja. Haijawahi zingua betry ukitumia na internet inakaa siku 3. Bei laki 3. Kama Utaimind ni Pm kwa sasa nipo nynda za juuuuuuuuuuuuuuuu kusini.
 
Nokia 2600 c nimetumia wiki 3 tu,bei 80,000.....just pm.
 
ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000
call 0767435430
hello Moto!..
kumbe bado wapo ulingoni kitambo sana nilishawasahau kabisa ninakumbuka tu zile slim zao cjui zilikuwa model gani vile!....
 
Used Phones (Grade A Quality):

Blackberry Torch - $360
Sony Vivaz pro - $130
HTC - $130
Samsung Corby - $130
Nokia E71 - $130
Samsung T746 - $130
HTC Magic - $140

Zote zimefunguliwa na zote ni mint condition. From Canada.

Zipo na Blackberry na Iphone 4 Brand new na used lap tops.

Kama upo interested ni PM.
Kaka nahitaji htc napataje sasa nicheck kwenye no.yangu 0656-072553
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom