Natafuta shule yenyeuhitaji wa mwalimu wa physical education

mtwevealfred

Member
Mar 13, 2019
6
4
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuku kikuu cha dar es salaam.
Nasoma course ya physical education and sport science.
Nahitaji shule ya private kwaajili yakufanyia field trip mwenzi wa 7 mwaka huu .
Ningependa kupata shule hiyo maeneo Kati ya njombe, iringa, au Mbeya na songea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje,wengine mashokolo mageni haya!

Membe Jr
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom