Shule za serekali za boarding mkoani Kilimanjaro

Shule za serekali za boarding mkoani Kilimanjaro

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,084
Habari ndugu wazazi,

Je wewe una mtoto wako aliyemaliza darasa la saba mwaka 2022 na amefaulu kwa wastani wa C,B na A
Na wewe ungependa asome shule za boarding/ hostel za serekali zilizopo mkoani Kilimanjaro na wale wanafunzi wanaosoma shule za serekali tayari nafasi zipo za kuhamia kwa kidato cha 2, 3 na 4

Gharama za ada ni 600,000-750,000 per year

Wahi mapema nafasi ni chache sana

Calls&WhatApp
0764616353
 
Heh, mkuu mbona kama ni kujihatarisha hivi kwa hiki unachokifanya? Is it business oriented ama ni huduma za kishule? Government ada zao za bweni ni kubwa hivi?
 
Heh, mkuu mbona kama ni kuhihatarisha hivi kwa hiki unachokifanya? Is it business oriented ama ni huduma za kishule? Government ada zao za bweni ni kubwa hivi?
Ni hostel mkuu,ambazo zinamilikiwa na shule

So ondoa shaka

Hiyo pesa ni kwa ajilu ya huduma tu za chakula,maji,umeme,malazi etc

Karbu sana Kilimanjaro uendelee kujionea maajabu
 
Ni hostel mkuu,ambazo zinamilikiwa na shule

So ondoa shaka

Hiyo pesa ni kwa ajilu ya huduma tu za chakula,maji,umeme,malazi etc

Karbu sana Kilimanjaro uendelee kujionea maajabu
Nyumbani huko mkuu. Hongera kwa jitihada
 
Back
Top Bottom