Natafuta shule nzuri ya private kwa HGE...

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Shule nzuri ipi ya private iliyopo mkoa wa iringa,mbeya,morogoro,pwani na dar yenye mchepuo wa HGE....ada yake bei nafuu isizidi 2 milion...
 
Shule inzuri inategemea na mwanafunzi kama mzuri

Sent from my Huawei mate 9
 
Nenda ALFAGEMS morogoro ada ni kama Bure na wapo poa sana kitaaluma
Ukiwa hpo kufaulu form six ni kitu cha kawaida hasa div 1
Kama unabisha ingia NECTA ksha search matokeo ya frm six
 
Back
Top Bottom