Natafuta Shamba

Mimi mwenyewe nilisisimkwa kwa kweli kuona kwamba mtu unaweza kufuga kwa mafanikio makubwa katika eneo dogo. Kuna namba za simu wameweka za bwana mwema mkuu ukifuatilia kwenye kilimo biashara yu tube utaziona. Nami nasubiri mrejesho nije nijifunze kwako.
 
Kuhusu maji kama vile haiitaji maji mengi sana Mama Joe, nimeona walio kwenye eneo kama sana huko kenya wakifaidika na technologia hii.
 
Mkuu hii technology inaonekana inahitaji joto kati ya 17 mpaka 24 degree centigrade, vipi kwa ukanda huu wa pwani tunafanyaje??

Maana huku ni kama 30 to 34 degree centigrade
 
Je Gwata ya kisarawe kuna umeme wa uhakika
 
Malila za sikukuu! Asante kwa ushauri, nimepata Msata, Chalinze. Tutakutafuta kwa ushauri zaidi, ngoja sikukuu iishe.
 
Ni Mazizi kwa kweli ni njiapanda kijiji kiko kama km 3 kutoka njia panda ya Msata unakuwa unarudi Moro ukitokea Kiwangwa, kushoto. Nadhani patanifaa ingawa bado nafanya utafiti zaidi, udongo ni mzuri sana mitiki, migomba, mahindi, miembe na nanasi vimekubali. Na bei sio mbaya ila naangalia maji kwa mifugo kama yao ingawa kuna ngombe wengi mtu kafuga. Tutatafutana ukaone.
Msata,ipi.
Je ni Kihangaiko, au Madesa, au hii njia ya kuja Bagamoyo? Mimi niko Madesa kuelekea Mkoko. Siku twende pamoja dada.
 
Pazuri pale,
Upande uliopata una bomba la maji la Wami. Ila nikukumbushe kitu mapema, jitahidi kupata eneo la kutosha kabisa.
 
Kuna 29 acres pale Viazi, less than 30 km from Dar city centre. lina sifa zote. Except umeme unahitaji bidii kidogo
 
Asante sana walinitajia kuhusu bomba ila sikuamini, ni kweli nimechukua kiasi ila nimeshika pande jingine pia naamini nitawezeshwa tu nimalizie. Barikiwa

Bei yako ikoje mkuu???

Maana umeme sio ishu nzito sana kwangu
 
Kuna 29 acres pale Viazi, less than 30 km from Dar city centre. lina sifa zote. Except umeme unahitaji bidii kidogo

Sio viazi ni vianzi,tatizo la jamaa wa vianzi wana uza kwa tamaa kuna jamaa alitaka aniuzie shamba ekali 2 kwa m8.....
 
Nenda Bupu au Tundu, huko unaweza kupata kwa laki tatu eka moja, tatizo ni usafiri wakati wa masika.Hakuendeki huko wakati wa masika.
 
Mkuu malila huko Bupu na Tundu kuna umbali gani kutoka mbagala?
 
Asante sana walinitajia kuhusu bomba ila sikuamini, ni kweli nimechukua kiasi ila nimeshika pande jingine pia naamini nitawezeshwa tu nimalizie. Barikiwa

Aisee Malaila na Mama Joe mmeufanya huu uzi uzidi kiwa wa maana sana, Mbarikiwe sana. Hayo maeneo Mama Joe mashamba bado yanapatikana, bei yao ikoje?
 
Asante nimepita hukop leo bado yapo. Nikapata muda wa kuingia ndani zaidi wananihakikishia yapo ya kutosha ila watu wanavyonunua sio muda aidha beoi itapanda au yatapungua. Eka kuanzia laki 2.5-3. Karibu sisi tumeenda kama 6 na kakikundi kanazidi kukua kila mtu anashika anazoweza.
Aisee Malaila na Mama Joe mmeufanya huu uzi uzidi kiwa wa maana sana, Mbarikiwe sana. Hayo maeneo Mama Joe mashamba bado yanapatikana, bei yao ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…