Natafuta shamba Mapinga -Bagamoyo

mwakifamba

Member
Sep 7, 2014
48
15
Habari

Natafuta shamba la angalau ekari 3 katika eneo popote kuanzia bunju mwisho hadi bagamoyo upande wa kulia km unaenda bagamoyo. Natafuta shamba ndani ya upande huo nilioutaja hapo juu. Kama kuna mtu dalali au mmiliki ani PM nahitaji shamba

Matapeli sitaki kwa kuwa km tutafamya biashara basi taratibu zote za kisheria na kuhusisha wanasheria zitafuatwa
 
Chukua tahadhari kubwa, kuna matapeli ya kiwango cha sgr. Sometimes wanashirikiana na viongozi halali wa serikali za mtaa
 
Umeeleweka Mkuu.
Ila, ukibadilisha muelekeo tutafutane.

EKARI NANE (8) ZINAUZWA KIROMO-BAGAMOYO.

Upande wa Kushoto ukielekea Bagamoyo kutokea Dar.

Umbali wa Kilomita 2.5 kutoka Barabara kuu ya Lami ya Bagamoyo.

Bei Tshs. 9 Milioni/Eka.

Piga/WhatsApp: +255 714 59 15 48.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom