Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Ntapata kwa bei gani bossKiwangwa au fukayosi upati heka kwa pesa hiyo
MASHAMBA YANAUZWA BAGAMOYONtapata kwa bei gani
Mmh!! Kwahiyo mkuu kwa mahesabu yako wataka heka 15, kwa 3m kiwangwa hiyo hiyo, kumbe Tanzania maisha ni simple.Habari wanajamvi,
Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa kisima, nina idea ya investment ya muda mrefu ya kilimo na ufugaji, heka bei iwe 200-250k per heka, tafadhali kwa mwenye nalo au anaeweza nipa connection nitashukuru.
Natanguliza shukrani.
Kuwa makini sana hizo bei zako utapigwa ndugu yangu. Tafuta hela kwanzaHabari wanajamvi,
Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa kisima, nina idea ya investment ya muda mrefu ya kilimo na ufugaji, heka bei iwe 200-250k per heka, tafadhali kwa mwenye nalo au anaeweza nipa connection nitashukuru.
Natanguliza shukrani.
Hivi maeneo uliyotaja kweli bado kuna Mashamba ya Heka bei hizo?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Yapo sanaKiwangwa au fukayosi upati heka kwa pesa hiyo
😂😂😂Kaa makini” serikali ya Zanzibar inamiliki eneo maeneo hayo”
Apigwe kwa sababu gani? Wewe umewahi kununua ukapigwa?Kuwa makini sana hizo bei zako utapigwa ndugu yangu. Tafuta hela kwanza
Serikali ya Zanzibar inamiliki ekari 6,000 tu huko na pana beaconKaa makini” serikali ya Zanzibar inamiliki eneo maeneo hayo”
Haya yapo Kijiji kipi?MASHAMBA YANAUZWA BAGAMOYO
Location: FUKAYOSI
Umbali: 5 km kutoka msata road (rami)
30km kutoka bagamoyo mjini
Bei:
Cash 1,500,000 kwa hekari
Awamu 1,900,000 kwa hekari (miezi 6)
Note: Lipia Tzs 300,000 kila mwezi
Sifa za mashamba
Hekari 1 na kuendelea
Barabara zinapitika wakati wote
Yapo karibu na makazi ya watu
Ukinunua tunakupa na hati ya kijiji
For more details and viewing kindly contact us through
Call/SMS/Whatsapp: 0686601716
Visit our office at Ubungo plaza, katambe street opposite kkkt church
Awe makini sana. Utapeli ni mkubwa mno hukoSerikali ya Zanzibar inamiliki ekari 6,000 tu huko na pana beacon
Wewe umenunua?Awe makini sana. Utapeli ni mkubwa mno huko
Ndio.Wewe umenunua?
Sawa hongera!Ndio.
Utapeli wa ardhi bagamoyo ni mkubwa mno,hata kwenye huu uzi tayari kuna mijizi na mitapeli imeingia humu na kuhaminisha watu hayo maeneo unapata heka kwa laki 2 ili watu waingia chaka wawapige,take care folksAwe makini sana. Utapeli ni mkubwa mno huko