Natafuta secret voice recorder device

Natafuta secret voice recorder device

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Natafuta kifaa kidogo sana cha kurekodi sauti nachoweza ficha hata kwenye nguo, shuka, mezani n.k ningepata hapa Tanzania ingekuwa vyema.
 
Wivu utakuua bro. Acha kumfatilia shemeji namna hio 🤣🤣🤣 mi nilikufa nikatiwa vibao kaburini hadi nikafufuka na nimerudi duniani sitaki tena ujinga wa kumfatilia mwanamke.
 
Wivu utakuua bro. Acha kumfatilia shemeji namna hio 🤣🤣🤣 mi nilikufa nikatiwa vibao kaburini hadi nikafufuka na nimerudi duniani sitaki tena ujinga wa kumfatilia mwanamke.
Duuuh mkuu nipe mchongo wa huko ulikopigwa makofi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom