Naweza fungua juice na milk point pembeni ya salon ya kiume?

aaryan1

Member
Jan 20, 2024
13
11
Naomba kuelekezwa kama inawezekana au hairuhusiwi.

Napanga kufungua Juice and Milk point ila pembeni ya fremu yangu kuna salon ya kiume na pembeni yake tena kuna salon ya kike!!!

Je, nikiwekapo hapo huduma ya chakula inaruhusiwa?

Hizo fremu zote ni barabaran stand ya bus.

asanteni
 
naomba kuelekezwa kama inawezekana au hairuhusiwi...

napanga kufungua Juice and Milk point...ila pembeni ya frem angu kuna salon ya kiume na pembeni yake tena kuna salon ya kike!!!

je nikiwekapo hapo huduma ya chakula inaruhusiwa???
hizo frem zote ni barabaran stand ya bus.,

asanteni
Pambeni kwa nnje au humo humo ndani ya jengo 1? Kumbuka usafi ni afya na nywele huruka/hupeperuka kwa upepo/hewa.

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
We fungua hamna shida
Kama huna uzoefu na kitu achana nacho ili mwenzio asije pata hasara, miaka ya nyuma niliwahi kufungua salon ya kiume pembeni ya mgahawa, watu wa afya walikuja kunifungia wakisema kisheria hairuhusiwi japo ilikua closed salon Yani hakuna hata kinachoweza kutoka nje ila Kila siku waliniandama mpaka nikahamishe location

Mleta mada watakusumbua tu hapo
 
hiv mkuu hizo biashaa zote ni zangu..hii salon ya kike,,salon ya kiume afu na hapo napotaka kuweka juice..... je mfano katikati ya salon ya kike na juice nikitoa salon ya kiume nikaweka biashara nyingime ambayo siyo ya nywele je pia watanisumbua.???
 
Zisipakane tu mkuu
 
Kila leo wajanja watakunywa juice na maziwa bure
Kila glass wanaweka nywele je utazuia namna gani hilo?
Kama unataka tengeneza milango miwili ya vioo kama wauza dhahabu
 
Stop thinking just do it mkuu utjua bdae ila nikwambie tu hapo ukiweka utaanza na hao vinyozi maana ni lazima wanywe maziwa,nao watakwambia wateja wao basi utapiga mishe.No hesitation go for it
 
Back
Top Bottom