Natafuta Sales Software

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
511
0
Wakuu heshima mbele!ee bwana nilikua nina mpango wa kufungua kiduka cha vifaa vya ujenzi na umeme!sasa nilikua nawazia niwe na ka software simple ka ku manage sales,purchases na stock!ili kuweza kudhibiti vijana wanaouza wasipige bao kubwa manake bao halikwepeki!

Kwa yeyote anayefahamu software ambayo ni nzuri,anijulkishe ntaweza kuipata wapi na ina cost kiasi gani?kwa kuanzia sihitaji complicated software,just simple to use.

Nawasilisha wakuu.
 

LuCKNOVICH

Senior Member
Jan 22, 2011
104
195
ni kama ulikuwa nami,tusubiri watupe vitu,nahitaji kwa ajili ya grocery.mtujuze wakuu!!
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
Nawashauri mtumie Tally ERP 9 ni software kwa mambo hayo....ina kila kitu unachohitaji mfanyabiashara yeyote... kuipata nenda kwenye torrents site yoyote utaipata na crack zake! jinsi ya kutumia kuna tutorials kibao online free..
 

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
511
0
Mkuu hiyo Tally ERP 9 ni free au unalipia?nahitaji simpe software sio complicated ki vile!usipokua na ki software unaweza jikuta kamtaji kameenda na maji!afu kijana anakuambia eti kuna chuma ulete!
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
ni ya kulipia mkuu ila ukifuata kama nilivyokuambia utaipata ikiwa na crack yake full...ipo poa sana ...unaweza search online kuona advntge zake...
 

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
408
195
kaka pia jaribu kutafuta wataalam wa access watakudisignia yote unayoyataka.
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,096
2,000
Nawashauri mtumie Tally ERP 9 ni software kwa mambo hayo....ina kila kitu unachohitaji mfanyabiashara yeyote... kuipata nenda kwenye torrents site yoyote utaipata na crack zake! jinsi ya kutumia kuna tutorials kibao online free..
Hii ni nzuri sana na inakilakitu katika biashara
Sema sasa ipo complicated kama hujawahi kuitumia, ila kuna wahindi wanafundisha kwa kama three weeks hivi
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
Hii ni nzuri sana na inakilakitu katika biashara
Sema sasa ipo complicated kama hujawahi kuitumia, ila kuna wahindi wanafundisha kwa kama three weeks hivi
ni kweli mkuu, ila kwa mtu ambaye anafahamu mambo ya accounting au biashara kidogo haiwezi kusumbua kivile istoshe bado kuna tutorials kibao siku hizi unaweza kudownload free na forums nyingi tu za kujifunzia....ishu ni practice tu..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom