Natafuta roommate wakupanga nae chumba Arusha mjini.

Natafuta roommate wakupanga nae chumba Arusha mjini.

eddy4real

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Habari zenu wakuu, mim ni kijana umri wangu ni miaka 23, natokea dar,Ila kwa sasa naishi moshi,kutokana na mishe zangu za kikazi nahitajika nikakae Arusha.kwa hivyo natafuta mtu Wa kuchangia nae chumba ili tusaidiane gharama za kodi.Mtu yeyote alietayari ningeomba ani pm contact Zake nami nimpe zangu au tuwasiliane kupitia meddynassa@gmail.com.
Vigezo:
1:Awe mvulana asizidi miaka 28
2:Asiwe mgomvi,mlevi, mvuata bangi au sigara
3:Asiwe na tabia za kishoga
4:awe tayari kutoa Ushauri na awe tayari kushaurika
5.awe mpore na mkarimu
6.sichagui dini,kabila,wala mkoa anaotokea.
 
Arusha chumba hadi elfu 10 kwa mwezi unapata..., au unaongelea chumba cha kodi ya shilingi ngapi mkuu...?!
 
habari zenu wakuu, mim ni kijana umri wangu ni miaka 23, natokea dar,ila kwa sasa naishi moshi,kutokana na mishe zangu za kikazi nahitajika nikakae arusha.kwa hivyo natafuta mtu wa kuchangia nae chumba ili tusaidiane gharama za kodi.mtu yeyote alietayari ningeomba ani pm contact zake nami nimpe zangu au tuwasiliane kupitia meddynassa@gmail.com.
Vigezo:
1:awe mvulana asizidi miaka 28
2:asiwe mgomvi,mlevi, mvuata bangi au sigara
3:asiwe na tabia za kishoga
4:awe tayari kutoa ushauri na awe tayari kushaurika
5.awe mpore na mkarimu
6.sichagui dini,kabila,wala mkoa anaotokea.
mbona ujataja jinsiayako na tabiayako/zako nawao wakujue usijekuwa mlevi wa mirungi ingawa ukutaja nayo n kilevi au mlevi wamambo ya sinzaa...cc....
 
Ka we ni mvulana kwanini unatafuta tena mvulana astakfillulah?!
 
arusha chumba hadi elfu 10 kwa mwezi unapata..., au unaongelea chumba cha kodi ya shilingi ngapi mkuu...?!

mate ukojuu umempa na bei ashindwe kuomba cont....amkidn
 
Single room ni kati elfu 30 hadi 50, kuishi na mtu hamfahamiani siyo fresh Man.
 
Daah mkuu umeweka sifa kama za mtu anayetafuta Mke hahah
 
mh arusha chumba elf kumi???? Labda cha udongo matejooo au ungalimited au wapi sijui.
 
mh arusha chumba elf kumi???? Labda cha udongo matejooo au ungalimited au wapi sijui.
aseme wasifjwake asijena yeye akawa mpenzi wa g...cha nairobo
 

Attachments

  • IMG-20150526-WA0131.jpg
    IMG-20150526-WA0131.jpg
    21.9 KB · Views: 130

Similar Discussions

Back
Top Bottom