Natafuta ramani ya nyumba ya chumba master, jiko na sebule

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629
2,000
Wakuu

Nina kiwanja changu, nilinunua kwa kujibana sana, kina ukubwa wa 20 kwa 20.

Sasa nimepanga kujenga chumba kimoja cha kuanzia maisha, maana nimechoka na kero za kupanga.

Sasa napenda room yangu iwe hivi.

Iwe ni master ambayo, ina dinning, kitchen na sitting room.

Ila madirisha napenda yawe makubwa na yawe yameshuka chini kama kozi 4 hivi kutokea kwenye msingi.

Sijui kama nimepatia kueleza kwa kitu ninacho kihitaji, wataalam watanielewa.

Nichek PM.
 
JoemTheDr

Member
May 22, 2020
25
45
Sifa za ramani, tayari ushavtaja. Kimebaki kuweka mjumuisho pekee. Kwanza una htaji mifumo gn? Jibu tayar utalipata, la sivyo utauziwa ramani au nenda halmashaur kaombe ramani(, ila kuna kiasi cha pesa utachajiwa pia)
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629
2,000
Sifa za ramani, tayari ushavtaja. Kimebaki kuweka mjumuisho pekee. Kwanza una htaji mifumo gn? Jibu tayar utalipata, la sivyo utauziwa ramani au nenda halmashaur kaombe ramani(, ila kuna kiasi cha pesa utachajiwa pia)

Umenipa akili mpya, ni kwenda halmashaur, cost zipoje?
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,072
2,000
Umenipa akili mpya, ni kwenda halmashaur, cost zipoje?
Kiwanja ni kidogo lakini unaweza weka apartment tatu za mpangilio ulilosema na jiko kwa kutumia 6×6m na bado ukawa na eneo kwa bafu na choo vya nje kwa kila apartment na eneo la parking la 14×14m, kama kipo eneo lenye mfumo wa maji taka. Anza na apartment moja kwenye moja ya kona ya kiwanja chako. Usisahau kuidhinishwa ramani yako na mipango miji, kuna adhabu kwa ujenzi holela.
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,443
2,000
Nadhani hii itakufaa...

ramani-chumba kimoja.jpg
 
Attachments

  • ramani-chumba kimoja.jpg
    File size
    326 KB
    Views
    0

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,925
2,000
kaka hapo umeeleza vizuri. nikushauri kitu muhimu. andaa kwanza site plan yaani eneo lako unataka ulitumieje . yan kwenye uwanjanwako kutakuwa na vitu gani, ujue iyo nyumba yako ya chumba kimija utaiset wapi na mbeleni utajenga nyumba ya ukubwa geni, je ukiamia kwenye nyumba kubwa hiyo ndogo utapangisha au???

So inabid uwe na full plan ya matumizi ya site/ Eneo lako
otherwise baadae unaweza jutia maamuzi yako
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629
2,000
Kiwanja ni kidogo lakini unaweza weka apartment tatu za mpangilio ulilosema na jiko kwa kutumia 6×6m na bado ukawa na eneo kwa bafu na choo vya nje kwa kila apartment na eneo la parking la 14×14m, kama kipo eneo lenye mfumo wa maji taka. Anza na apartment moja kwenye moja ya kona ya kiwanja chako. Usisahau kuidhinishwa ramani yako na mipango miji, kuna adhabu kwa ujenzi holela.

Safi sana, kwa ushahuri mzuri, hasa hapo mwishoni. Plan nikuanza na hiyo moja, alafu baadae nikipata hela, nianze kuiongeza, I mean nitaacha matoleo.
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629
2,000
kaka hapo umeeleza vizuri. nikushauri kitu muhimu. andaa kwanza site plan yaani eneo lako unataka ulitumieje . yan kwenye uwanjanwako kutakuwa na vitu gani, ujue iyo nyumba yako ya chumba kimija utaiset wapi na mbeleni utajenga nyumba ya ukubwa geni, je ukiamia kwenye nyumba kubwa hiyo ndogo utapangisha au???

So inabid uwe na full plan ya matumizi ya site/ Eneo lako
otherwise baadae unaweza jutia maamuzi yako

Kuna jamaa kanishahuri nijenge kwenye kona ya uwanja, hii naona ni nzuri, ili nipate parking, na garden , napenda garden sana.

Na baadae nije niongeze , iwe nyumba kubwa iliyo kamilika, ila master itabaki hivyo hivyo , mm na wife.
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,542
2,000
Wife umeshapata wa kumnyandua kwenye chumba chako cha kinyamwezi? Kama bado mchukue Shilole maana Uchebe ni bondia wa ngumi za mchangani.
Kuna jamaa kanishahuri nijenge kwenye kona ya uwanja, hii naona ni nzuri, ili nipate parking, na garden , napenda garden sana.

Na baadae nije niongeze , iwe nyumba kubwa iliyo kamilika, ila master itabaki hivyo hivyo , mm na wife.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom