Ramani ya kisasa ya nyumba yenye vyumba vitatu

savo

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
279
204
Habarini wanajamvi? Hongera kwa uhai, naombeni ramani ya vyumba vitatu ramani ya kisasa yenye,

• Sebule kubwa ya kiasi chake na dainng
• master yenye dressing room na toilet
• room moja iwe master pia
• Public toilet
• Jiko na stoo
• room ya kawaida
• study room
~ Ndo nawaza kiwanja mwaka huu nikusanye kusanye hela hapa.
#Tujenge duniani na mbinguni pia
 
hqdefault.jpg
 

https://www.jamiiforums.com/threads...nto-reality-nile-house-designs.1836707/page-2

Mkuu fuata uzi huu, whatsapp/call 0715477041
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom