Wewe chiwawa umekuja na I'd yako mpya, shida hujui kujificha.Asante mkuu wewe wasema mimi ni chiwawa wewe je?
Oyaa karibu sanaWakuu .....
natafuta marafiki wa kiume na wakike hapa JF wa kushare mambo mbalimbali.
Asante!
Tena mie huwa nampandishaga sukari na bipolar yake.Sasahivi anaonekama mwema ,kuna wewe na Lamomy mkimuamulia huwa anaanza kujionesha sasa kuwa ni yeye ππ
Ni naniπ€£π€£π€£π€£Wewe chiwawa umekuja na I'd yako mpya, shida hujui kujificha.
Lol πππ
πππTena mie huwa nampandishaga sukari na bipolar yake.
Wee muache, atajisema hapa sasa hivi, tena atakuja kwa maparodi yake mengine.
πππ
Huyo huyo uliyemtaja mda, ni yeye.Ni naniπ€£π€£π€£π€£
Unajikataa!?Mimi siye.
Hahahaha,kapigwa ban na I'd yakeπ,Huyo huyo uliyemtaja mda, ni yeye.
Lilivyo jinga, linakuja na I'd inayofanana jina na Seran, yaan halijielewi hili li chiwawa.Hahahaha,kapigwa ban na I'd yakeπ,
Ni yeye.
Utapigwa mimbaMimi siye.
Asaaaaaa ahahahahante sana mkuu.,Oyaa karibu sanaView attachment 3684249
π€£π€£π€£π€£π€£@Gunner11 hajawahi kujitambuaπLilivyo jinga, linakuja na I'd inayofanana jina na Seran, yaan halijielewi hili li chiwawa.
πππ
Hayuko sawa kichwani huyu. ππππ€£π€£π€£π€£π€£@Gunner11 hajawahi kujitambuaπ
Hapa siyo facebookWakuu .....
natafuta marafiki wa kiume na wakike hapa JF wa kushare mambo mbalimbali.
Asante!
Anahitaji maombiπHayuko sawa kichwani huyu. πππ
Vp mbona fujo?3