Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
ok! usijali Lady doctror tena nakupa chenye 4D
ah ah! Lady doctor una mtesa mwenzako
sasa hivi nampata live bila chenga ila analogy lazima nitarudi mfundishe aniandikie barua ya makopa na mishale may be hapo anaweza kunipata kirahisi
hapana simtesi namsaidia tu ili anipate lol.
hata mimi naona hiyo course ume graduate peke yako but kaongezeongeze basi kaelimu hata kidogo au kaibe kile cha rafiki yako naona yeye angalau anaka degree then uje upya
ah ah! Old is gold bana... umenikumbusha mbali Lady doctor hapa nimebaki najichekea
ngoja nifuatilie kama oxford wanatoa degree za stress management ili nikapige shule. Maake inaonekana ntakuwa na kazi ya ziada
ah ah! lady doctor una mtesa mwenzako
mmmh! Mi nawaangalia tu
acha wasiwasi mlevi hapotei nyumba
hata akipotea lazma tu atarud kwake!! Mie ujirani na mtu siutaki kabisa mume wangu......mwenyewe unajua jinsi nilivyo na wivu! Lol
hahahaaa... Ondoa presha mama hapa anacheza hide and seek na nimejificha mbali sana sijui kama ataniona.
Copy: king kan
lady doctor usimpe attention sana queen kan, yeye kama àbiria ameshindwa kuchunga mzigo wake.
thread closed. Any question...!???