Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #121
huyu huyu kabisaaa!!!! Ben Saanane anakazi ya ziada
ah ah ah ! Ben Saanane pale kapatikana haongei kitu, chochote atacho ambiwa anatii amrii, sijui anawapa nini wanaume huyu Madame B
ah ah ah! Lady doctor mie nitakupa king'amuzi ila usibadilishwe na digitali
me bado sijatoka analojia we tuma tu nione kama utakidhi vigezo lol.
Madame B nachowapa wanakijua wenyewe, mi simo!
Slave na manoah acheni majungu.hahahhaha! Leo kuku wataona gerehuyu huyu kabisaaa!!!! Ben Saanane anakazi ya ziada
hapa kuna mtu anatafuta marafiki wa kuchat nae kampata manoah watu wanamuonea wivu. Mi mwenyewe natafùta rafiki kwa kuwa mke wa mtu sumu. Nimekupm na cv yangu. Naomba unikubalie Lady doctor.
cc: The secretary, Bishanga, Queen Kan, manoah
chapa ilale
mbona nimetuma tayari. Da naona hapa kazi kweli kweli ngoja nikupe sifa moja wapo ya ukweli nna diploma ya friendship management na nina certificate ya caring and appreciation science. Hapo bado tu
I love you mother mdogo............ dadi yupo wapi
Mmm... Hapo bado hebu rudi tena darasani
chapa ilale
mbona unanifanyia hivi au nitaje wingi wa vyeti? Maana bongo nchi îshachakachuliwa vyeti vingi ndo unaonekana umesoma? Enzi zetu shule hazikuwepo nyingi îla hiyo course ni mimi tu ndio nimegraduate.
hata mimi naona hiyo course ume graduate peke yako but kaongezeongeze basi kaelimu hata kidogo au kaibe kile cha rafiki yako naona yeye angalau anaka degree then uje upya