Acha kumsingizia mama wa watu!
Kulikoni jamani?
Poa Mpenda Yesu , mzima kaka?
Wa kike au wa kiume, mnene au mwembamba, mweupe au mweusi, ccm au chadema...!!
Weka detail bathii!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mzima kabisa,za Dsm?
Una shiling ngapiiii wewe
dsm ni njema, kaka! huko a-town mnasemaje?
ukiwapata hao wakuCHART nao na mie nipunguzieNa mie natafuta marafiki wa kuchart nao...